Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ally kiba kufanya collabo na ndomo ni msaada tosha.maana hela ya kumlipa diamond hana.ndomo msaidie mtoto wa mama huyo asiyejitambua
Na huyu asemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally kiba kufanya collabo na ndomo ni msaada tosha.maana hela ya kumlipa diamond hana.ndomo msaidie mtoto wa mama huyo asiyejitambua
Inawezekana Diamond alimaanisha jambo zuri tu ila sijapenda alivyosema yuko tayari ''kumsaidia'' Alikiba, kwani Alikiba ni underground hadi aombe kusaidiwa? Kama ningekua Alikiba kwa kauli ya kitoto kama hii nisingethubutu kufanya kazi na Diamond hata siku moja maana hizo ni kauli za wanawake wa pwani.
kwa sasa kupata collabo ya Diamond ni kupata msaada..au hujui hilo?
Unajua kuna neno likitumiwa kwenye muktadha Fulani linaonekana si zuri! Hili neno kama kweli kalitumia halikupaswa kulitumia ukizingatia uhusiano alio nao kwa sasa na Alikiba!
Hili neno linamaanisha Alikiba hajiwezi kabisa pengine si kimziki tuu bali hata kifedha!
Pengine hakujua kama hili neno linaweza kuwa baya lakini si la kutafuta suluhu kabisa au Amani!
Noted. Elimu yake ndogo.
Nini maana ya elimu?
Yeye mwenyewe anahitaji msaada tena mkubwa sana.............
Kwa Kweli Ally kiba kabemendwa na majimama ndio maana kazubaa kama mchuzi wa juzi
Hahahaaaaa,alafu aliimba vibaya sijapata ona hasa pale mwishoni sauti iligoma kabisaaa
Prof.J angemtumia Q Chillah ule wimbo ungekua hatari sana
Kwa Kweli Ally kiba kabemendwa na majimama ndio maana kazubaa kama mchuzi wa juzi
Wema alipomfunza tu kizungu, anafikiri yupo juu ya wa TZ wote.
Shame.
Nahisi kuna maneno kwenye hii habari kama kweli kayasema kama alivyo nukuliwa yatazidisha uhasama!
Hilo neno kumsaidia lilikuwa halina sababu kutumika badala yake lingetumika neno kuwa Niko tayari kufanya nae Collabo kama ikitokea....
Neno "kumsaidia" linasikika vibaya sana kwenye hii habari na sijui kama ni kweli kalisema sijui Kiba atalitafsiri vipi?
Kugonga wema ndo kuchangamka.....!!!
Kama kimataifa Mbona Kiba kaimba hadi na R kelly? kama shoo za nje mbona kiba kafanya sana?..na wewe Kiba ulishindwa nini kuomba collabo na R kelly na Ipupa na amani wakati ulikua nao muda mwingi mkifanya mazoezi ya kuimba na kurekodi?..ona sasa hata washamba wanakudharau!..acha tuu waendelee kukudharau umezubaa sana wewe Kiba!.. huyu mshamba ataendelea kukunyanyasa sana kwa ujinga wako!...
Huyu mtoto bado hajajua maisha......ipo siku atajua kuishi na watu.Kuna kauli ni tata sana kutoa mbele ya watu kwa maana wapo mashabiki wapo pande zote sasa unapotoa kaul ya kebehi na dharau basi ujue mwisho wake umekaribia