Diamond asema "Nipo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba"

Diamond asema "Nipo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba"

nimeamini diAmond umAarufu wake ni wa skendo
ila hana talent yoyoteeeeeeeee
team kiba 4eva
 
Huyu mtoto bado hajajua maisha......ipo siku atajua kuishi na watu.Kuna kauli ni tata sana kutoa mbele ya watu kwa maana wapo mashabiki wapo pande zote sasa unapotoa kaul ya kebehi na dharau basi ujue mwisho wake umekaribia

Ni kweli kauli nyingine awe nazo makini maisha yenyewe haya tabiriki na kuna watu wako neutral ajikwezaye hushushwa
 
Kiba si alifanya collabo na R.Kelly lakin au?

Nani wakimataifa zaidi kati ya The Pied Piper na hao waliofanya collabo na Diamond?
 
humpendi kiba mi nakujua we team diamond

Nampenda sana ila anaboaaa hata nyie anawaboa mi nataman wangekua level sawa na diamond sasa anatuangusha kiba kumponda sio kumchukia ni kumuweka kwenye mstarii kiba anaweza ila sijui kapooza hata sielewii
 
Daah! masikini ameshapata...nasikia tu mlio wa mbwata! mbwata! mbwata!
 
Nampenda sana ila anaboaaa hata nyie anawaboa mi nataman wangekua level sawa na diamond sasa anatuangusha kiba kumponda sio kumchukia ni kumuweka kwenye mstarii kiba anaweza ila sijui kapooza hata sielewii

mi sina shaka time will tell
mwanadsm mbona mzuri tuu
tena unasikilizwa mbaya
 
Ni kweli kauli nyingine awe nazo makini maisha yenyewe haya tabiriki na kuna watu wako neutral ajikwezaye hushushwa

Anapenda ku make headlines kwenye magazeti.....ili ku mantain jina lake vichwani kumbe anaharibu.
 
Ata kuwaweka stage moja ni biashara kubwa kwa sasa. Yani awa watu kusimama pamoja ni biashara kubwa sana tofauti na watu wanavyochukulia .
Kama ni hivyo basi huyo domo hana haki ya kusema anamsaidia. Anamsaidia vipi sasa wakati wote watakuwa wanafanya biashara?
 
mi ningekua kiba ningechangamkia fursa .........

Grand PA
 
Mnajifanya mmesahau jinsi KITORONDO kilivyozimwa na kuzikwa na "we mwana wewe mwana,mbona jeuri sanaaa"
 
Nadhani Diamond hajaongea kiungwana. Nadhani ingekaa poa zaidi kama angetumia neno "kufanya kazi pamoja" rather than "kumsaidia".
 
Kama anaweza kumsaidia Kiba kwa nini asianze na dada ake Queen D awe kama Yemi Alade au yule Rommy J afike angalau level za Shetta..maana wote ni wanamuziki,Nahisi jamaa anajiandaa kutoa ngoma mpya maana bila stunt siku hizi jamaa hajatoa ngoma.
 
Back
Top Bottom