Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtoto bado hajajua maisha......ipo siku atajua kuishi na watu.Kuna kauli ni tata sana kutoa mbele ya watu kwa maana wapo mashabiki wapo pande zote sasa unapotoa kaul ya kebehi na dharau basi ujue mwisho wake umekaribia
Kwa Kweli Ally kiba kabemendwa na majimama ndio maana kazubaa kama mchuzi wa juzi
humpendi kiba mi nakujua we team diamond
Mzee wa Umenyeni umenena!Masikini akipata makota ulia mbwata,diamond hajui maana ya kusaidiwa ngoja nimfahamishe,Bob junior alivyokurekodia bure wakati upo majalala pale ndio kusaidia.
nimeamini diAmond umAarufu wake ni wa skendo
ila hana talent yoyoteeeeeeeee
team kiba 4eva
Majimama yamemzoroteshaa
Nampenda sana ila anaboaaa hata nyie anawaboa mi nataman wangekua level sawa na diamond sasa anatuangusha kiba kumponda sio kumchukia ni kumuweka kwenye mstarii kiba anaweza ila sijui kapooza hata sielewii
Ni kweli kauli nyingine awe nazo makini maisha yenyewe haya tabiriki na kuna watu wako neutral ajikwezaye hushushwa
Kama ni hivyo basi huyo domo hana haki ya kusema anamsaidia. Anamsaidia vipi sasa wakati wote watakuwa wanafanya biashara?Ata kuwaweka stage moja ni biashara kubwa kwa sasa. Yani awa watu kusimama pamoja ni biashara kubwa sana tofauti na watu wanavyochukulia .