Nampenda sana ila anaboaaa hata nyie anawaboa mi nataman wangekua level sawa na diamond sasa anatuangusha kiba kumponda sio kumchukia ni kumuweka kwenye mstarii kiba anaweza ila sijui kapooza hata sielewii
Dinazarde umenena hakika!
Huyu Alikiba naye kazidi unyonge sana hadi ana kera!
Anatakiwa aanze kupambana nae sio kunyaza tuu!
Aanze kubadilika kwenye mavazi na anatakiwa kujibu hii statement ya Diamond kwa kusema sihitaji msaada wa mtu!
Mashabiki wanatamani Ally apambane na Diamond jino kwa jino sio kuwa mpole ....hadi ana kera!
sasa hayo maneno aliotoa bwana kinywa sio ya dharau na ya kuchochea ugomvi?Mashabiki ndo mnaowagombanisha hawa watu, sidhan kama wana ugomvi wa aina hii
Ndio sasa yaan tukimsema tunaonekana tunachukiaa
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba.
Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.
Akajibu.....
Namnukuu " kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae.
Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa,so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"
Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa
Waje - Nigeria
Mafikizolo - South Africa
Kcee - Nigeria
Don Jazzy - Nigeria
Ndomo hana akili.amsaidie nani wakti alikiba jembe zaidi yake.mwambie domo ambunguze dharau asifikiri hivyo via award vya kishetani vnamba kiburi
hahahaha. umenichekesha sana
Nimeshaa anza kuona ujinga wake wacha Diamond aendelee kutesa..linabaki kisema ooooh nina sauti original..
Haya alli kiba nenda kasaidiwe
we domo wewe domo domo jeuri sana
Ndomo hana akili.amsaidie nani wakti alikiba jembe zaidi yake.mwambie domo ambunguze dharau asifikiri hivyo via award vya kishetani vnamba kiburi
usiumie tena domo kakalishwa vibaya fiestaKiukweli sisi mashabiki wa Ali Kiba tunaumia sana na usimple wake,natamani siku nimuone sijui nitamcharaza viboko ili nae aone ni jinsi gani naumia????Alipata golden chance kwenye ile project ya One 8 lakini akazembea...sasa hivi tungekua tunazungumza habari nyingine....
usiumie tena domo kakalishwa vibaya fiesta
Wewe acha tu jana watu wamelia hadharani!!!!
nifaaaaaaaa
nlilala jana humu ndani mimi,weewe na miss strong ndo wadada wa kiba na madongo yotee ila tumesimama