Mimi naona tatizo ni kwamba hajataja ni kwa muda upi rasmi hatopokea maombi...
idea it is perfect kuna wasanii unakuta ni wapuuzi tu wanakuwa wanasumbua kinoma badala akusaidie we ndio unampaisha...
Kuna kollable ilitoka kama mwezi na nusu hivii ni ya rundatrax sound ft. diamond , run town na nani sijui mwingine unaipata??????
inaonekana rundatrax hana pesa ya video sijui maana naona kimyaa kinoma
+Siipati hiyo mkuu embu kama inawezekana itupie hapa
hongera tunajivunia wewe diamond kwasasa tumejulikana inshallah tunakuombe uzidi kufanikiwa ka nchi kangu kenyewe ndo haka haka najivunia nakapenda nitaenda wapi I love you TANZANIA MY MAMALAND
Kumekuchaaaa Tanzania
Kumpigia kura Diamond tuzo 3 na Vanessa 1 za MTV Africa 2015 kila siku mara nyingi kwa kila kategori
ingia link hii na humo kuna collabo yake pia
MAMA 2015
View attachment 262617
Unajua maana ya inshallah??Yani ww unamshilikisha munge kwenye ukafiri
Eti inshallah
Unajua maana ya inshallah??
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.
+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.
+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!
Umbea huoSafi sana Chibu...hope ishu za kifamilia ni kwamba Kijacho kakarbia Kushushwa!
He is managed by duos Babu Tale na Mkubwa Fela who are very locally known and understood
As a fan of Music since 5yrs of age sijawahi kupata kusikia msanii yeyote anatangaza kuwa hataki kufanya collabo na wanamuziki wa nchi fulani eti kwa vile "keshatoboa" in that respective country Diamond he is the 1st!
Lakini kwa uwezo wangu wa kufikiri naona ndugu yetu hana watu wa maana wa kumsimamia as an artist(famous&talented&visioned) he just got bunch of old friends/homies na wajipendekezao kwa maslahi yao!!!
Davido kafanya hivyo mwaka huu...
Kubali ukatae inasaidia saana unaepuka kuwa cheap kiivo, kuna wimbo kashirikishwa wizkid na runtown, yani wimbo mbovu kinoma wanatoatoa kama maharage sijui.... lazima msanii uweunajuwa jinsi ya kujibrand ndio maana wenzetu marekani huwa wanaweka mkwanja mrefu sana ukitaka mshirikisha wanajuwa atae afford basi yupo kwenye level nzuri inapumguza usumbufu...
hata hivyo sio ishu ya kudumu,... Mi namuelewa saana salaam jamaa kichwa kinoma lazimà kaona mbali kwenye hili....
Afu kukurekebisha manager wake internationally ni salaam na mpaka unaona amefika hapo basi ni hivo vichwa...