Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

Umetaja Marekani kuwa huwa wanacharge pesa nyingi kwa ajili ya collabo ili kumaintain status na kutojiweka cheap

Lakini sio publicly unasema sitafanya tena collabo(wether eternal or for short time) thats my point

Na kuhusu management sijawahi kuamini kama yule Tale au Mkubwa ndo wamefanya Diamond afike hapo ni Collabo yake na Davido ndo ilimtoa thats all!

we jamaa ni mzito sana wa kuelewa mambo,chibu hajasema hataki tena kufanya kolabo,bali kasema ana sitisha kwa muda.
 
Daah uyo jamaa (the american dreamz) n mgumu kuelewa kwel kwel kwanza nahis hata uyo salaam sk hamjui ndo mana anawang'ang'ania fela na tale ktk comment zake.
1) Afu diamond ucmwone mjnga embu angalia pale nigeria msanii gan mkubwa hajafanya nae collabo labda wizkd
2)kuna kitu lazma tukijue kwamba collabo nyng znamfanya msanii kuishiwa inafkia hatua msanii anakuwa hana jpya mfano mzur apa ndan tulikuwa na chidbenz alfanya collabo nyng mpaka ikafkia hatua watu saut yake tukaichoka yan akawa hana jpya sasa akawa anapga makelele tu.
Collabo zna faida ila zcwe too much m nafkr managment ya WCB ndo the best hapa EastAfrca so wanajua nn wanafanya na naamin kuna collabo nyng ambazo zmekamilika ila bado hazjatoka ndo mana wamezua kwa muda collabo mpya naamin hvyo.
3)kuhusu diamond na davdo im sure cku moja diamond atawasuprise watu.
 
Ajaribu kutanua wigo wa kufanya collabo sehem tofautitofauti sio Naija tu, ila aangalie namna nzuri ya kuongea ambayo haitaleta shida huko Nigeria wakiipata taarifa ya kutofanya colabo
 
mbona LIL WAYNE Wa YMCMB Bado Anapokea Kolabo Mpaka Kesho..Na Hajachuja?
 
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.

+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.

+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!

Wewe ni Diamond hater eehh!? Shauri yako, ni marufuku kumkosoa Diamond na kumpa ushauri sahihi yule ni malaika na ni graduate, wewe unajuwa nini zaidi ya Diamond?
 
Wewe ni Diamond hater eehh!? Shauri yako, ni marufuku kumkosoa Diamond na kumpa ushauri sahihi yule ni malaika na ni graduate, wewe unajuwa nini zaidi ya Diamond?

+no babu huyo jamaa sometime anahitaji ushauri sio kila kitu kusifia tuu,

+shabiki wa kweli ni yule ambae anaona upande wa pili wa msanii wake sio kila kitu kusifia!
 
Back
Top Bottom