Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

kabla ya kolabo na dianond nilikua simjui kiviilee
iyanya,kcee,donald(msouth) na hata brackets nao sikua
nawafatilia kwa saana but kupitia mond now nawafatilia
sana hawa jamaa.nadhani hii sio peke yngu tu hata kwa
wa east african walio wengi.

na hata kabla ya kolabo na davido nadhani mond alikua
hajulikani saana huko naija.

huu ndio umuhimu wa kolabo.ila zikiwa too much inaboa unakua hauna taste mpya,muhimu kujipa muda na kutuliza kichwa.
 
Mimi naona tatizo ni kwamba hajataja ni kwa muda upi rasmi hatopokea maombi...

idea it is perfect kuna wasanii unakuta ni wapuuzi tu wanakuwa wanasumbua kinoma badala akusaidie we ndio unampaisha...

Kuna kollable ilitoka kama mwezi na nusu hivii ni ya rundatrax sound ft. diamond , run town na nani sijui mwingine unaipata??????
inaonekana rundatrax hana pesa ya video sijui maana naona kimyaa kinoma

+Siipati hiyo mkuu embu kama inawezekana itupie hapa
 
hongera tunajivunia wewe diamond kwasasa tumejulikana inshallah tunakuombe uzidi kufanikiwa ka nchi kangu kenyewe ndo haka haka najivunia nakapenda nitaenda wapi I love you TANZANIA MY MAMALAND
 
+Siipati hiyo mkuu embu kama inawezekana itupie hapa

Unaona sasa, hii kitu nilikuwa naiangalia sana nikaona kama kutakuwa na tatizo sehemu but the song is good, ishu tu jamaa design kama hakujipanga promo, na kilakitu hadi video coz runtown wala dangote hawakujisumbua kupost çhochote juu ya hili afu video c unajuwa ndio mpango....

Rundatrax ft. run town, diamond platnumz, & teddy A Africa

http://kamili.wapka.mobi/music/view/31035624
 
Achangamkie fursa kama nafasi ipo, siku wakianza kumsusa ndipo atakapogundua kuwa alitakiwa kuongeza juhudi zaidi. Mfano jamaa wa Togo wanaomhitaji, angeshirikiana nao tu ili atanue wigo wake, Nigeria sio Africa au Dunia, aongeze tu macolabo mradi iwe na watu wenye viwango.
 
hongera tunajivunia wewe diamond kwasasa tumejulikana inshallah tunakuombe uzidi kufanikiwa ka nchi kangu kenyewe ndo haka haka najivunia nakapenda nitaenda wapi I love you TANZANIA MY MAMALAND

Yani ww unamshilikisha munge kwenye ukafiri
Eti inshallah
 
Inatosha kwa leo

10403284_456188301217450_9108097579831562989_n.jpg
 
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.

+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.

+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!

Yah m ninachooma hapo c lazima kutangaza kama alivyofanya may be iishie huku huku tz isifike Nigeria watamuona ana nata. En diamond asishangae collabe kuwa nyingi mana yuko kwenye peak kama alivyokua davido last year alifanya collabo nyingi sana.
 
eti alitakiwa atangaze ratiba bla blah nyingi utadhani anayetoa ushauri naye anajua kitu kuhusu music industry.Teh teh teh wabongo bana so judgemental na kujifanya wao ndo wataalamu kuwazidi walipo kwenye tasnia ya muziki
 
He is managed by duos Babu Tale na Mkubwa Fela who are very locally known and understood

As a fan of Music since 5yrs of age sijawahi kupata kusikia msanii yeyote anatangaza kuwa hataki kufanya collabo na wanamuziki wa nchi fulani eti kwa vile "keshatoboa" in that respective country Diamond he is the 1st!

Lakini kwa uwezo wangu wa kufikiri naona ndugu yetu hana watu wa maana wa kumsimamia as an artist(famous&talented&visioned) he just got bunch of old friends/homies na wajipendekezao kwa maslahi yao!!!
 
Davido kafanya hivyo mwaka huu...

Kubali ukatae inasaidia saana unaepuka kuwa cheap kiivo, kuna wimbo kashirikishwa wizkid na runtown, yani wimbo mbovu kinoma wanatoatoa kama maharage sijui.... lazima msanii uweunajuwa jinsi ya kujibrand ndio maana wenzetu marekani huwa wanaweka mkwanja mrefu sana ukitaka mshirikisha wanajuwa atae afford basi yupo kwenye level nzuri inapumguza usumbufu...

hata hivyo sio ishu ya kudumu,... Mi namuelewa saana salaam jamaa kichwa kinoma lazimà kaona mbali kwenye hili....

Afu kukurekebisha manager wake internationally ni salaam na mpaka unaona amefika hapo basi ni hivo vichwa...
 
Umetaja Marekani kuwa huwa wanacharge pesa nyingi kwa ajili ya collabo ili kumaintain status na kutojiweka cheap

Lakini sio publicly unasema sitafanya tena collabo(wether eternal or for short time) thats my point

Na kuhusu management sijawahi kuamini kama yule Tale au Mkubwa ndo wamefanya Diamond afike hapo ni Collabo yake na Davido ndo ilimtoa thats all!
 
Back
Top Bottom