Umetaja Marekani kuwa huwa wanacharge pesa nyingi kwa ajili ya collabo ili kumaintain status na kutojiweka cheap
Lakini sio publicly unasema sitafanya tena collabo(wether eternal or for short time) thats my point
Na kuhusu management sijawahi kuamini kama yule Tale au Mkubwa ndo wamefanya Diamond afike hapo ni Collabo yake na Davido ndo ilimtoa thats all!
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.
+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.
+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!
Wewe ni Diamond hater eehh!? Shauri yako, ni marufuku kumkosoa Diamond na kumpa ushauri sahihi yule ni malaika na ni graduate, wewe unajuwa nini zaidi ya Diamond?