Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
King of pop Afika mashariki, Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake' kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa Nigeria ambao hawajafanikiwa kufanya nae wataikosa nafasi hiyo.

Platnumz ambaye Jumamosi iliyopita pamoja na msanii wa Afrika Kusini, Donald wameshoot video ya collabo yao mpya, amesema kwa sasa amefunga milango ya kupokea collabo za wasanii wa Nigeria. Hii inamaanisha zile collabo za wasanii wanaomuomba yeye afanye nao.

"Sasabu ya kusimamisha kwa sasa hivi ni too much too much " amesema Diamond kupitia 255 ya Clouds Fm. " kwa sababu mwanzo tuliku watu nafanya collabo na watu kwa sababu ya kutafuta tobo la kuingia Nigeria, tumeishaingia vizuri Nigeria tunakubalika tunafahamika na nyimbo zetu zinafanya vizuri hata tukitoa nyimbo ambazo tunatoa wenyewe tu zinahit, au kama Nasema Nawe navyokwambia sasa hivi inafanya vizuri Nigeria, so inakuwa haina maana kila mtu akushirikishe shirikishe, so zitabaki tu baadhi ya collabo za wasanii wanaofanya vizuri zitatoka baadae lakini sio kwa sasa hivi kwani tumezisimamisha, kwani tumekuwa tukiombwa sana sana sana na wasanii wa Kinigeria kufanya collabo tumesimamisha".

Diamond ameongeza kuwa collabo ya mwisho kutoka Nigeria ni ile ya Kcee na yeye iliyotoka hivi karibuni, ambayo wanatarajia kuifanyia video nchini Afrika Kusini.

"katika nyimbo ambazo tumeshirikishwa itakuwa ya mwisho hii tumefanya na Kcee kwa sasa ambayo kuanzia kesho tunaanza kushoot video yake ambayo inafanyika hapa hapa South Africa, ilitakiwa tushoot Mozambique lakini nina issue za kifamilia hapa South Africa imeshindikana kwenda Mozambique imebidi nimwambie inabidi tushoot hapa hapa."

Hata hivyo Diamond amesema miongoni mwa wasanii wengine wa Afrika ambao wametuma maombi ya kufanya naye collabo ni pamoja na Ferré Gola pamoja na kundi la Too Fan la Togo.

Chanzo: Bongo5

Afadhali atanue wigo, sio Nigeria tu
 
tazamo sahihi kabisa kwa muda sahihi, ukiingia sound city top 10 kuna nyimbo 2, nana na nakupenda na nasema nao unapigwa sana hata trace tv na afro pop tv zao ni hivo hivo, na mtv base napo anakimbiza inabidi apumzike kidogo wasimchoke maana kuna collabo za psquare na fally ipupa nazo hazijatoka hizi nadhani zitatoka mwakani.
 
Safi sana Chibu...hope ishu za kifamilia ni kwamba Kijacho kakarbia Kushushwa!
 
tazamo sahihi kabisa kwa muda sahihi, ukiingia sound city top 10 kuna nyimbo 2, nana na nakupenda na nasema nao unapigwa sana hata trace tv na afro pop tv zao ni hivo hivo, na mtv base napo anakimbiza inabidi apumzike kidogo wasimchoke maana kuna collabo za psquare na fally ipupa nazo hazijatoka hizi nadhani zitatoka mwakani.

yap bado ipo na mafikizolo, na aka ila ngoma mpya nadhani mwaka huu huu mwezi wa kumi hadi wa 12 hivi unaachiwa... najuwa itayofuatia ya mafikizolo..
 
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.

+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.

+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!
 
K

Si unajua bongo waandishi labda pia hawakumnukuu vizuri kama kawaida ya Tanzania.
 
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.

+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.

+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!

hajakataa mkuu amesitisha kwa muda kidogo ili kutoa nafasi zilizopo zitoke zipo nyingi sn mkuu
 
hii point ya mwisho umewaza kama mimi,but kwa ufanye kazi kwa kuwAogopa wanaija? "be u and not them"

huu kama kazi zime mtinga ni bora asitishe tu kolabo ili apate muda wa kufanya mambo yake.au kama vipi ampigie pande bwana mifugo aende akapige kolabo na wanaija.
 
Uko sahihi hapo mwishoni
 
Si unajua bongo waandishi labda pia hawakumnukuu vizuri kama kaqaida ya Tanzania.

+Na mimi naombea wawe hawakumnukuu vizuri, kwa sababu kwangu mimi hizi sio habari nzuri,

+habari nzuri kwangu ni mziki wetu umekubalika Nigeria baaaasi!
 
+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.

+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.

+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!

yeah misijapenda maneno yake tu, huyu dogo mpuuzi sana huwa hana maneno sahihi ya uwasilishaji but idea nimeipenda not kwa wanaija but to all..

mziki ni biashara anavyo sitisha kwa muda ni wazo zuri, kumbuka alichokifanya davido mwaka huu mwanzoni mpaka sasa hafanyi collable yeyote na alitangaza hivyo rasmi..

Ukitaka kuangalia hili jaribu kuangalia barnaba anakipaji sana but the way anaimba na kilamtu inakuwa na disadvantage sometimes either wimbo mbovu, au video mbovu kupitiliza...
Alikiba pia miaka iliyopita sio kama alikuwa kimya no!! hakutoa wimbo wake but alikuwa anasikika redioni kupitia nyimbo za wenzake hata hivyo hazikuwa kihivyo kama "kiboko yangu hivii" hizo ndio level

so unapoweka hii ukija kuruhusu baada ya mda ushakuwa wa moto kupitiliza si kila msanii atakuomba, rejea nyimbo alizoshirikishwa tz utaelewa mawazo ya meneja kuamua hivyo, dogo alikuwa haruhusu ovyo kuzoeleka ndio masna ikawa ni rahisi kuwa tofauti kana kwamba kumpa m10 kwa show wakati wengine m1 kawaida
 
hajakataa mkuu amesitisha kwa muda kidogo ili kutoa nafasi zilizopo zitoke zipo nyingi sn mkuu

+najua hajakataa lakini uwasilishaji na upokeaji wa hii habari nna wasiwasi inaweza ikawa tatizo kwa wanaija unakumbuka ile kauli ya Davido ilivyoleta shida E Afrika!?
 
hii point ya mwisho umewaza kama mimi,but kwa ufanye kazi kwa kuwAogopa wanaija? "be u and not them"

huu kama kazi zime mtinga ni bora asitishe tu kolabo ili apate muda wa kufanya mambo yake.au kama vipi ampigie pande bwana mifugo aende akapige kolabo na wanaija.

+Sawa mkuu lakini mziki wetu bado sana kufikia level ya kutamka hadharani vitu kama hivi.

+ kweli hatuwezi kuwaogopa wanaija, lakini soko la naija ni muhimu sana kwetu. Kumbuka hawa jamaa ndo wako on top sasa hivi Afrika na sisi kwa mbaali tunawakaribia na hiyo ni kwa juhudi kubwa ya Chibu.
 
Mziki wetu au wengine ambao sio Chibu labda na yeye ametamka ili asieleweke vibaya kuwa anasitisha maana anaweza kujikuta hapati mapumziko kama hivi nyimbo nyingi zikaingia hata zake mwenyewe hapati muda wa kuziweke promo.

Wengine wanatangazaga sasa hao wa TZ na muziki wetu wanapata nafasi ya kutanua na hao wa nje wafanye collabo nao wapae sasa sio kumzingizia kula kitu Diamond sababu hawajitumi.
 
Mimi naona tatizo ni kwamba hajataja ni kwa muda upi rasmi hatopokea maombi...

idea it is perfect kuna wasanii unakuta ni wapuuzi tu wanakuwa wanasumbua kinoma badala akusaidie we ndio unampaisha...

Kuna kollable ilitoka kama mwezi na nusu hivii ni ya rundatrax sound ft. diamond , run town na nani sijui mwingine unaipata??????
inaonekana rundatrax hana pesa ya video sijui maana naona kimyaa kinoma
 
Mziki wetu au wengine ambao sio Chibu labda na yeye ametamka ili asieleweke vibaya kuwa anasitisha maana anaweza kujikuta hapati mapumziko kama hivi nyimbo nyingi zikaingia hata zake mwenyewe hapati muda wa kuziweke promo.

Wengine wanatangazaga sasa hao wa TZ na muziki wetu wanapata nafasi ya kutanua na hao wa nje wafanye collabo nao wapae sasa sio kumzingizia kula kitu Diamond sababu hawajitumi.

+Sawa ni lazima apate muda wa kufanya mambo yake lakink kama anavyosema Kidingi inatakiwa atoe ratiba yake iliyo rasmi ili ijulikane ni muda gani wa kolabo na muda gani wa nyimbo zake.

+kingine me nazani awe anatoa matamko yaliyorasmi na aepuke kutoa matamko ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuwakomfyuzi baadhi ya fans wake wa nchi nyingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom