Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

mkuu una akili nyingi sana,, huu ndo ukweli
 
Alishasema kuwa hakuna biashara kubwa inayomilikiwa na mtu mmoja, hivyo yeye aliwafata wajuvi wa media akaungana nao kuanzisha wasafi tv lakini hakutaja majina yao.
 
Kazi kazii anajitahidi pamoja na watu wa nyuma yake
 
Waishushe CMG imepanda wapi iyo WASAFI wakati awa na show yoyote tangazo lolote la biashara tamasha na issue sio kuanzisha issue ni Ku maintain status CMG wana miaka zaidi ya 15 katika media industry wanajua fitina kinda kindaki na KUSAGA Kua na hisa kampuni A na B yawezekana mbona Tigo wana hisa adi zantel na wote telecommunications companies.
 
Chanel yenyewe kwangu INAGANDA GANDA KILA BAADA YA SEKUNDE KADHAA, hamna hata raha ya kuangalia. Haiwezekani Tv zote zinaonyesha fresh ila peke yake ndio ina freeze. Haiko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…