Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Kwani amesema diamond ni mmiliki?Haindoi UMILIKI WA KUSAGA KWA WASAFI HATA DIMONDI AKIWEKWA FRONT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amesema diamond ni mmiliki?Haindoi UMILIKI WA KUSAGA KWA WASAFI HATA DIMONDI AKIWEKWA FRONT.
Mkuu ile HD ya mchinaAzam Sports HD nayo vp?
mkuu una akili nyingi sana,, huu ndo ukweliKusaga ni Founder na C.E.O wa CMG, kama ana hisa WASAFI hilo ni jambo la kusubiri maana ni ngumu sn kuamini kuwa Kiongozi wa kampuni A anaweza kununua hisa (kusupport) kampuni B ambao ni washindani wake kibiashara wenye lengo la kuishusha kampuni yake A. Nnachoamini Kusaga na Ruge watapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, hilo suala la Hisa ni jambo la kawaida sana kwa kampuni yoyote ile Duniani inayolenga mafanikio lkn kati ya Wana hisa tumtoe Kusaga maana huyu ni mshindani. Haya sasa tusubiri VITA ya mafahari (CMG vs WASAFI)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasubiri Kwa hamu hapa goma la kiba lipigweNaona song la kassim mganga kwa mbali
Likipigwa la kiba mnistue waungwana
Naskia ya abdu kiba imepigwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasubiri Kwa hamu hapa goma la kiba lipigwe
Ukibahatika kupiga screenshot utatisha.Naskia ya abdu kiba imepigwa
Acha wivu we mjingaa nakutabilia utakufa masikini, ikumbuke tar ya leo!!!!Hii ya wana ccm
Amesema yeye ndio Brand Name ya kampuni.Kwani amesema diamond ni mmiliki?
Waishushe CMG imepanda wapi iyo WASAFI wakati awa na show yoyote tangazo lolote la biashara tamasha na issue sio kuanzisha issue ni Ku maintain status CMG wana miaka zaidi ya 15 katika media industry wanajua fitina kinda kindaki na KUSAGA Kua na hisa kampuni A na B yawezekana mbona Tigo wana hisa adi zantel na wote telecommunications companies.Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG, kama ana hisa WASAFI hilo ni jambo la kusubiri maana ni ngumu sn kuamini kuwa Kiongozi wa kampuni A anaweza kununua hisa (kusupport) kampuni B ambao ni washindani wake kibiashara wenye lengo la kuishusha kampuni yake A. Nnachoamini Kusaga na Ruge watapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, hilo suala la Hisa ni jambo la kawaida sana kwa kampuni yoyote ile Duniani inayolenga mafanikio lkn kati ya Wana hisa tumtoe Kusaga maana huyu ni mshindani. Haya sasa tusubiri VITA ya mafahari (CMG vs WASAFI)
122Channel namba ngapi?