Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG, kama ana hisa WASAFI hilo ni jambo la kusubiri maana ni ngumu sn kuamini kuwa Kiongozi wa kampuni A anaweza kununua hisa (kusupport) kampuni B ambao ni washindani wake kibiashara wenye lengo la kuishusha kampuni yake A. Nnachoamini Kusaga na Ruge watapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, hilo suala la Hisa ni jambo la kawaida sana kwa kampuni yoyote ile Duniani inayolenga mafanikio lkn kati ya Wana hisa tumtoe Kusaga maana huyu ni mshindani. Haya sasa tusubiri VITA ya mafahari (CMG vs WASAFI)
mkuu una akili nyingi sana,, huu ndo ukweli
 
Alishasema kuwa hakuna biashara kubwa inayomilikiwa na mtu mmoja, hivyo yeye aliwafata wajuvi wa media akaungana nao kuanzisha wasafi tv lakini hakutaja majina yao.
 
Kazi kazii anajitahidi pamoja na watu wa nyuma yake
 
Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG, kama ana hisa WASAFI hilo ni jambo la kusubiri maana ni ngumu sn kuamini kuwa Kiongozi wa kampuni A anaweza kununua hisa (kusupport) kampuni B ambao ni washindani wake kibiashara wenye lengo la kuishusha kampuni yake A. Nnachoamini Kusaga na Ruge watapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, hilo suala la Hisa ni jambo la kawaida sana kwa kampuni yoyote ile Duniani inayolenga mafanikio lkn kati ya Wana hisa tumtoe Kusaga maana huyu ni mshindani. Haya sasa tusubiri VITA ya mafahari (CMG vs WASAFI)
Waishushe CMG imepanda wapi iyo WASAFI wakati awa na show yoyote tangazo lolote la biashara tamasha na issue sio kuanzisha issue ni Ku maintain status CMG wana miaka zaidi ya 15 katika media industry wanajua fitina kinda kindaki na KUSAGA Kua na hisa kampuni A na B yawezekana mbona Tigo wana hisa adi zantel na wote telecommunications companies.
 
Chanel yenyewe kwangu INAGANDA GANDA KILA BAADA YA SEKUNDE KADHAA, hamna hata raha ya kuangalia. Haiwezekani Tv zote zinaonyesha fresh ila peke yake ndio ina freeze. Haiko sawa.
 
Back
Top Bottom