Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Tv gani unamiliki?Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv gani unamiliki?Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Kuna siku kwenye mataa Mwanza nilikwanguana na bajaji. Kwa kuogopa fujo za bodaboda (kwani aalijaa ghafla) nikaendesha mpaka polisi. Nilipofika polisi bodaboda wakatoa maelezo kuwa huyu kagonga kaua. Basi wakashikikiwa ili wasaidie pilisi. Mwenye bajaji hata hakujitokeza kwani hakufuata taa za kuongozea magari. Na hakuumia hata kidogo na wala bodaboda hawakufuatilia hilo tukio vizuri. Baada ya polisi kujiridhisha kuwa walichosema si kweli mimi nikaruhusiwa nikaondoka zangu. Wale bodaboda iliwagharimu! Kwani walitaka kunidhuru wakati mwenye bajaji alijiingiza mwenyewe though hapakuwa na madhara yoyote.Naskia hii ni purojekiti ya Kusaga.. Naskia ana mpango wa kugawana mbao na Ruge kule Mawingu.. Naskia kasema Da' Mange!
hide my ID plsNaskia hii ni purojekiti ya Kusaga.. Naskia ana mpango wa kugawana mbao na Ruge kule Mawingu.. Naskia kasema Da' Mange!
Kwahiyo Da Mange kanipotosha sio? Ngoja nikampe makavu yake..
Mkuu unamiliki Kituo gani cha TV?Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
lakini cha ajabu ndio zinaongezeka kila siku nna hamna inayopungua!Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
HahahaSifa upewe wewe umeandika comment hapa.
Tatizo ni ma bei yao ya matangazo.Wanaona bora wapige bongofleva bure kuliko tangazo la biashara kwa bei nafuu!Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Nikukumbushe tu enterprenur wa kweli wanakwenda na passion zao sio sokoni kuna nini[emoji120] ....passion ya Diamond iko ktk entertainment/media industry.....kichachotakiwa ni products na sio mazingira kivile....kwa kupitia hiyo TV akija na product moja the likes of Bingo....atafanya biashara kubwa tu ktk haya haya mazingira ya "hapa kazi tu"Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
thamani ya mitambo unafanisha na mshahara wa kumpa AyooHana uwezo huo bado
huyu alikuwa mwajiliwa kwa miaka nane faida anajua tajiriNikukumbushe tu enterprenur wa kweli wanakwenda na passion zao sio sokoni kuna nini[emoji120] ....passion ya Diamond iko ktk entertainment/media industry.....kichachotakiwa ni products na sio mazingira kivile....kwa kupitia hiyo TV akija na product moja the likes of Bingo....atafanya biashara kubwa tu ktk haya haya mazingira ya "hapa kazi tu"
We jamaaa itakua diamond amekufanyia kitu kibaya sana sio kwa chuki hzo 99% ya comments zako huwa unamuattack sana... Mkuu chuki ni ugonjwa
umemlamba wewe acha uzushiwa nn shoga yule
Hata ya kukodi so ipothamani ya mitambo unafanisha na mshahara wa kumpa Ayoo
Naona wako ki-HD HD hivi...heko kwa timu nzima ya wasafiWaje Na kwenye DSTV
Dstv ni full HDNaona wako ki-HD HD hivi...heko kwa timu nzima ya wasafi
Kweli King'amuzi cha kimataifa zaidiWaje Na kwenye DSTV