Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Karibu ujiunge kupata stress kama wakina mzee Mengi maana ukionyesha za chadema wana ccm wanachukia ,and vice versa
 
Naskia hii ni purojekiti ya Kusaga.. Naskia ana mpango wa kugawana mbao na Ruge kule Mawingu.. Naskia kasema Da' Mange!
Kuna siku kwenye mataa Mwanza nilikwanguana na bajaji. Kwa kuogopa fujo za bodaboda (kwani aalijaa ghafla) nikaendesha mpaka polisi. Nilipofika polisi bodaboda wakatoa maelezo kuwa huyu kagonga kaua. Basi wakashikikiwa ili wasaidie pilisi. Mwenye bajaji hata hakujitokeza kwani hakufuata taa za kuongozea magari. Na hakuumia hata kidogo na wala bodaboda hawakufuatilia hilo tukio vizuri. Baada ya polisi kujiridhisha kuwa walichosema si kweli mimi nikaruhusiwa nikaondoka zangu. Wale bodaboda iliwagharimu! Kwani walitaka kunidhuru wakati mwenye bajaji alijiingiza mwenyewe though hapakuwa na madhara yoyote.

TV ni ya Wasafi!
Kama huna uhakikika utakuwa kama hawa bodaboda!
 
Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Tatizo ni ma bei yao ya matangazo.Wanaona bora wapige bongofleva bure kuliko tangazo la biashara kwa bei nafuu!
 
Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Nikukumbushe tu enterprenur wa kweli wanakwenda na passion zao sio sokoni kuna nini[emoji120] ....passion ya Diamond iko ktk entertainment/media industry.....kichachotakiwa ni products na sio mazingira kivile....kwa kupitia hiyo TV akija na product moja the likes of Bingo....atafanya biashara kubwa tu ktk haya haya mazingira ya "hapa kazi tu"
 
huyu alikuwa mwajiliwa kwa miaka nane faida anajua tajiri
 
utamburuza na wachawo wenzake kwani Diamond ndiye aliyesababisha ukose kazi we mburula
We jamaaa itakua diamond amekufanyia kitu kibaya sana sio kwa chuki hzo 99% ya comments zako huwa unamuattack sana... Mkuu chuki ni ugonjwa
 
20180401_172942.jpg

Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122 ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.

Mmechagua vyema kuweka katika decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.

Nawatabiri makubwa zaidi!

HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
 
Back
Top Bottom