Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Nini uraia miss neddy, ikiwa hata mama angu mzazi nimemuambia abadili jina aitwe nifah itakuwa uraia??!!!
Na mimi niite mpenzi basi ili moyo wangu ufarijike na usiende kukusema vibaya mbele ya mzee wa kiti cha enzi! Lazima ufahamu kwamba mimi leo hii nikitangulia mbele za haki nitakuwa nimeenda huko na penzi langu kwako... penzi lililojaa huba na upole. Usisahau, siku ya hukumu ikifika, tutapangwa mstari na sina shaka swali la awali kabisa nitakaloulizwa na Mwenye Kiti cha Enzi ni endapo niliuetendea haki moyo wangu kwa kuupa fursa ya kupenda... nitajibu, NDIYO, nilimpenda nifah na moyo wangu ni shuhuda... Mwenye Kiti Cha Enzi atauhoji moyo wangu ikiwa nisemayo ni sahihi... Moyo huu utainuka kwa uchovu huku ukiwa umejawa na simanzi ukionesha dalili zote za kiumbe ambacho hakikutendewa haki hapo kabla... kwahiyo nifah wangu, hebu ufurahishe moyo wangu japo mara moja moja ili siku ya hukumu itakapofika nao upate kukushuhudia kwa mema ambayo umepata kuutendea na hatimae kumfurahisha mzee mwenye kiti cha enzi! Sema: "sawa, nimekuelewa nas...!"Uwiiiiiii ni sheeedah mpenzi...ngoja ni log out jamani
See you later mamii..
Sitathubutu hata mara moja kumuingiza tunduni... tunduni ni karaha na hakuna japo chembe ya raha... ni kama kifungoni kama sio utumwani... ni kwamba unakuwa umefungiwa, si kiumbe huru tena; kuliona jua ni majaaliwa hadi aliyekufungia atakapoamua! Huyu mwenye uwezo wa kusimamisha mapigo ya moyo wangu wakati wowote akiamua katu siwezi kumfanya mtumwa au sawa na ndege tunduni... nitamfungulia makazi ya kudumu kwenye bahari kuu ya mahaba, yenye kina kisichokaba... humu atakuwa na wasaha wa kuogelea apendavyo... kama kuelekea mashariki sawa na kama magharibi hewallah... mwenye tunu ni lazima aitumie na huu ndo wakati wake...haha basi sawa ongeza speed umuingize ndege tunduni
Na mimi niite mpenzi basi ili moyo wangu ufarijike na usiende kukusema vibaya mbele ya mzee wa kiti cha enzi! Lazima ufahamu kwamba mimi leo hii nikitangulia mbele za haki nitakuwa nimeenda huko na penzi langu kwako... penzi lililojaa huba na upole. Usisahau, siku ya hukumu ikifika, tutapangwa mstari na sina shaka swali la awali kabisa nitakaloulizwa na Mwenye Kiti cha Enzi ni endapo niliuetendea haki moyo wangu kwa kuupa fursa ya kupenda... nitajibu, NDIYO, nilimpenda nifah na moyo wangu ni shuhuda... Mwenye Kiti Cha Enzi atauhoji moyo wangu ikiwa nisemayo ni sahihi... Moyo huu utainuka kwa uchovu huku ukiwa umejawa na simanzi ukionesha dalili zote za kiumbe ambacho hakikutendewa haki hapo kabla... kwahiyo nifah wangu, hebu ufurahishe moyo wangu japo mara moja moja ili siku ya hukumu itakapofika nao upate kukushuhudia kwa mema ambayo umepata kuutendea na hatimae kumfurahisha mzee mwenye kiti cha enzi! Sema: "sawa, nimekuelewa nas...!"
Huyo Zari mwenyewe aliyatarajia haya... unapiga picha na Diamond halafu unaweka kwenye social network!!
Na mimi niite mpenzi basi ili moyo wangu ufarijike na usiende kukusema vibaya mbele ya mzee wa kiti cha enzi! Lazima ufahamu kwamba mimi leo hii nikitangulia mbele za haki nitakuwa nimeenda huko na penzi langu kwako... penzi lililojaa huba na upole. Usisahau, siku ya hukumu ikifika, tutapangwa mstari na sina shaka swali la awali kabisa nitakaloulizwa na Mwenye Kiti cha Enzi ni endapo niliuetendea haki moyo wangu kwa kuupa fursa ya kupenda... nitajibu, NDIYO, nilimpenda nifah na moyo wangu ni shuhuda... Mwenye Kiti Cha Enzi atauhoji moyo wangu ikiwa nisemayo ni sahihi... Moyo huu utainuka kwa uchovu huku ukiwa umejawa na simanzi ukionesha dalili zote za kiumbe ambacho hakikutendewa haki hapo kabla... kwahiyo nifah wangu, hebu ufurahishe moyo wangu japo mara moja moja ili siku ya hukumu itakapofika nao upate kukushuhudia kwa mema ambayo umepata kuutendea na hatimae kumfurahisha mzee mwenye kiti cha enzi! Sema: "sawa, nimekuelewa nas...!"
DANGOTEEEEEEE!!!!! ACHA MOVIE IENDELEEE!!!!
Dah...kwa hali hii Shigongo ataendelea tu kuwa bilionea..hapa anauza gazeti kesho kiulainiiiiiiiiii
nawaonea huruma teamwema! pesa zao za budle mpaka wauze mawigi ... zari anapesa chafu! kama dangote amekamata hili zigo asiachie aisee
Kibibi zari kina watoto wakubwa k ina uwalaza wanaume wote Africa ulaya nq america hakuna anaekitaka ndo umeangukia diamond??? Huyu ni mama yako. Maradhi ndo utaondoka nayo hakuna lingine. Kibibi kinaumwa hiki
Huyo zari nasikia kamfata billionea mwenzake yule dogo anayejiita king rover..
Yani mtanikuta mochwari.... Si kwamba sumpendi dai ila maumivu atakayompa Wema. Naomba iwe ni video manake km ni ukweli
Huyo zari nasikia kamfata billionea mwenzake yule dogo anayejiita king rover..
Huyo ni zari ama??
Picha za mahaba kati ya dimond na kibibi zari umeziona??