Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Uwiiiiiii ni sheeedah mpenzi...ngoja ni log out jamani
See you later mamii..
Na mimi niite mpenzi basi ili moyo wangu ufarijike na usiende kukusema vibaya mbele ya mzee wa kiti cha enzi! Lazima ufahamu kwamba mimi leo hii nikitangulia mbele za haki nitakuwa nimeenda huko na penzi langu kwako... penzi lililojaa huba na upole. Usisahau, siku ya hukumu ikifika, tutapangwa mstari na sina shaka swali la awali kabisa nitakaloulizwa na Mwenye Kiti cha Enzi ni endapo niliuetendea haki moyo wangu kwa kuupa fursa ya kupenda... nitajibu, NDIYO, nilimpenda nifah na moyo wangu ni shuhuda... Mwenye Kiti Cha Enzi atauhoji moyo wangu ikiwa nisemayo ni sahihi... Moyo huu utainuka kwa uchovu huku ukiwa umejawa na simanzi ukionesha dalili zote za kiumbe ambacho hakikutendewa haki hapo kabla... kwahiyo nifah wangu, hebu ufurahishe moyo wangu japo mara moja moja ili siku ya hukumu itakapofika nao upate kukushuhudia kwa mema ambayo umepata kuutendea na hatimae kumfurahisha mzee mwenye kiti cha enzi! Sema: "sawa, nimekuelewa nas...!"
 
haha basi sawa ongeza speed umuingize ndege tunduni
Sitathubutu hata mara moja kumuingiza tunduni... tunduni ni karaha na hakuna japo chembe ya raha... ni kama kifungoni kama sio utumwani... ni kwamba unakuwa umefungiwa, si kiumbe huru tena; kuliona jua ni majaaliwa hadi aliyekufungia atakapoamua! Huyu mwenye uwezo wa kusimamisha mapigo ya moyo wangu wakati wowote akiamua katu siwezi kumfanya mtumwa au sawa na ndege tunduni... nitamfungulia makazi ya kudumu kwenye bahari kuu ya mahaba, yenye kina kisichokaba... humu atakuwa na wasaha wa kuogelea apendavyo... kama kuelekea mashariki sawa na kama magharibi hewallah... mwenye tunu ni lazima aitumie na huu ndo wakati wake...
 
Na mimi niite mpenzi basi ili moyo wangu ufarijike na usiende kukusema vibaya mbele ya mzee wa kiti cha enzi! Lazima ufahamu kwamba mimi leo hii nikitangulia mbele za haki nitakuwa nimeenda huko na penzi langu kwako... penzi lililojaa huba na upole. Usisahau, siku ya hukumu ikifika, tutapangwa mstari na sina shaka swali la awali kabisa nitakaloulizwa na Mwenye Kiti cha Enzi ni endapo niliuetendea haki moyo wangu kwa kuupa fursa ya kupenda... nitajibu, NDIYO, nilimpenda nifah na moyo wangu ni shuhuda... Mwenye Kiti Cha Enzi atauhoji moyo wangu ikiwa nisemayo ni sahihi... Moyo huu utainuka kwa uchovu huku ukiwa umejawa na simanzi ukionesha dalili zote za kiumbe ambacho hakikutendewa haki hapo kabla... kwahiyo nifah wangu, hebu ufurahishe moyo wangu japo mara moja moja ili siku ya hukumu itakapofika nao upate kukushuhudia kwa mema ambayo umepata kuutendea na hatimae kumfurahisha mzee mwenye kiti cha enzi! Sema: "sawa, nimekuelewa nas...!"

Mhhhhh!!!Hivi haya maneno unayapataga wapi Nas???
Honestly nimebaki kinywa wazi sijayaamini macho yangu hiki ninachokisoma....anyawys...uko vizuri kiukweli hakuna mwanamke ambaye hatopenda kuyasikia maneno haya.....
 
Huyo Zari mwenyewe aliyatarajia haya... unapiga picha na Diamond halafu unaweka kwenye social network!!

Ila nimeamini kuna watu bila umbea hawaishi, na hao ndo mabingwa wa kutunga mpaka kitu kinaonekana cha ukweli!
 
Yani mtanikuta mochwari.... Si kwamba sumpendi dai ila maumivu atakayompa Wema. Naomba iwe ni video manake km ni ukweli
 
Attachments

  • 1415483354398.jpg
    1415483354398.jpg
    56 KB · Views: 393
Na mimi niite mpenzi basi ili moyo wangu ufarijike na usiende kukusema vibaya mbele ya mzee wa kiti cha enzi! Lazima ufahamu kwamba mimi leo hii nikitangulia mbele za haki nitakuwa nimeenda huko na penzi langu kwako... penzi lililojaa huba na upole. Usisahau, siku ya hukumu ikifika, tutapangwa mstari na sina shaka swali la awali kabisa nitakaloulizwa na Mwenye Kiti cha Enzi ni endapo niliuetendea haki moyo wangu kwa kuupa fursa ya kupenda... nitajibu, NDIYO, nilimpenda nifah na moyo wangu ni shuhuda... Mwenye Kiti Cha Enzi atauhoji moyo wangu ikiwa nisemayo ni sahihi... Moyo huu utainuka kwa uchovu huku ukiwa umejawa na simanzi ukionesha dalili zote za kiumbe ambacho hakikutendewa haki hapo kabla... kwahiyo nifah wangu, hebu ufurahishe moyo wangu japo mara moja moja ili siku ya hukumu itakapofika nao upate kukushuhudia kwa mema ambayo umepata kuutendea na hatimae kumfurahisha mzee mwenye kiti cha enzi! Sema: "sawa, nimekuelewa nas...!"

Unatongoza kizamani!!! Huyo demu akitoka kaoge maji ya bahari pale Salander bridge.

By the way me nimekuta njiani maandishi, na huu muda na wikend hii.....mhhh
 
nawaonea huruma teamwema! pesa zao za budle mpaka wauze mawigi ... zari anapesa chafu! kama dangote amekamata hili zigo asiachie aisee
 
Kibibi zari kina watoto wakubwa k ina uwalaza wanaume wote Africa ulaya nq america hakuna anaekitaka ndo umeangukia diamond??? Huyu ni mama yako. Maradhi ndo utaondoka nayo hakuna lingine. Kibibi kinaumwa hiki
 
Moja ya mtoto wa kibibi zari. Nilikuwa namheshimu ila amenitoka ghafla
 
Attachments

  • 1415490123061.jpg
    1415490123061.jpg
    57.2 KB · Views: 216
Huyo zari nasikia kamfata billionea mwenzake yule dogo anayejiita king rover..
 
Kibibi zari kina watoto wakubwa k ina uwalaza wanaume wote Africa ulaya nq america hakuna anaekitaka ndo umeangukia diamond??? Huyu ni mama yako. Maradhi ndo utaondoka nayo hakuna lingine. Kibibi kinaumwa hiki

Mapenzi hajali umri dada. .lakini
 
Huyo zari nasikia kamfata billionea mwenzake yule dogo anayejiita king rover..

King rover yule waliyemchambua humu jf sijui kama anahamu tena. .

Acha niendee jukwaa la siasa nlikuwa napita tu
 
Back
Top Bottom