Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
wema ashachakaa mkuu, mi wa nini??? hahahahaha
Uuuwiiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wema ashachakaa mkuu, mi wa nini??? hahahahaha
Kulikon tena? Nshapitwa mie
wema ashachakaa mkuu, mi wa nini??? hahahahaha
kwani hujui boss wako domo amekamatia kikongwe cha uganda mama yake Pinto?
kwani hujui boss wako domo amekamatia kikongwe cha uganda mama yake Pinto?
Ahahahahah eti nimeibiwa simu, wewe ni chiz unajua, hamna bhana ni Ban tu binamu, yan we acha
Ndo maana wameungana penny,wema na wolper looh mademu wa kibongo kwa umalaya pyuuuu, huyo ndomo zari atamuweza? Maana yule demu sio wa kuendeshwa ovyo kama akina mama ubaya, ana pesa chafu yule ooh
Eee poyeeeeeee
Cha muhimu nimerud, aya nipe umbea bhas
Nilipo hapa nna furaha Daimond yupo na Zari,usipimeeeeee yaan ni shidaaaa
Mpwa wewe hupitwi.
Hii imenipotezea mudi...alipaswa kumpiga mkia huyu....
Team wema zinajifanya hazisikii et wala hazion picha
Project hiyooo keshasuuza kirungu hapo.. mweeee jaman na mie natafuta wa kufanya bae project...
Mkuu sio sizitaki mbichi hizi
Hapana mkuu.. Yule veteran apige game na wazee wenzake akina le mutuz
Hhhhhhhaaaaaa
Nasikia na leo wako wote ati... Ama kweli dimondi kiboko yaoo. Team kiba wapi?? Wakati kiba akihangaika na show za masasi, dimondi kapumzika na le bilionea.. Ama kweli Sir God hana huruma hahaha
Jamani nimecheka mpaka nikapata kichomiii,,yaan kuna mapicha huko yanarushwaa tuuu ni shidaaaaaaa hapa mjiniiiii