Wamependezaa sanaaaaaaaa
Daimond,anajua kucheza na akili za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamependezaa sanaaaaaaaa
Aiseeee........kweli hata uwe na pesa kiasi gani........bila ninilino........hujakamilika.........
Ninavyomuonaga Zari........mmmmmh.....
Miss World anaenda MNYARWANDA LILIAN....!
Ngoja niendelee kuamini kuwa ni shooting LOL
Huwezi kunyoa kwapa kwa wembe na usikukate japo kidogo.. Hata kama ni shooting, nassibu lazima aonje yaliyomo...
Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??
ahh mkuu turudi kwa wema.... bado unampango wa kumla
Sikujuaa binam wala sikuangaliaaa kama una ban poyeeeeeeeeeeeeeee,,mi nilijua umepumzika tu au umeibiwa simuuu
zari naye ni mwanamuziki.inawezekana kamshirikisha diamond..ila km kuna la ziada basi jay z awe makini kwa mkewe beyonce diamond is on fire
Hivi dada Sumu kitchen party yako ni lini tena?Na dada Precise Pangolin.
Umeona enh... haya mambo kila mtu na maisha yake... kila mtu anafanya kile anachoamini ni sahihi kwake... why should someone care what other people say!!!Wamuwacheee Dangoteeee,
Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??
Watu wamejaa upepo balaa...Jamaa anajua kucheza na akili zetu aisee
kumbe ulipewa bani? poule. kuna kuvalisha kibibi nepi wahi umsaidie domokaya