Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Aiseeee........kweli hata uwe na pesa kiasi gani........bila ninilino........hujakamilika.........
Ninavyomuonaga Zari........mmmmmh.....

Hahahaaa.. Thats how things are.. Mbona madame Matalenti naye alikua anatoka na Mwana daresalama??
 
Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??

heee mods waliliona kkkaah
yaonekana wanakufatilia sana binamu maana kidogo wamkubanika
 
Last edited by a moderator:
leo kuna ugawaj wa tuzo ambazo diamond pia anagombea.wataalam wa mambo embu fatlieni ili tujue kama yaliyomo yamo ama nn
 
Pole,nilidhani unashughulikia talaka, karibu tena.

AHahaha, wewe zavi ni kiboko, niko busy na talaka bhana, mpaka kieleweke, gadner alikuwa anatubania sana, sasa ivi tutapumua
 
Last edited by a moderator:
Watu wamejaa upepo balaa...Jamaa anajua kucheza na akili zetu aisee
 
Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??

kumbe ulipewa bani? poule. kuna kuvalisha kibibi nepi wahi umsaidie domokaya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom