Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mwaka wa wenye vipara haha *return of the king*
Hhhhhhhhaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wa wenye vipara haha *return of the king*
Project hiyooo keshasuuza kirungu hapo.. mweeee jaman na mie natafuta wa kufanya bae project...
Naomba urushe picha zoteee ni shidaaaaa,hivi Wema hajatoa tamko hhhhhhaaa kama kipindi kile kwa jokate
Weraaaaaaaaaa domo unajua nanii mtafute hata paul okoye mfanye project au sioo
Hivi Bosslady huu ni muda wa kucheza kombolela kweli? Tena mchana kweupe??? Aaargh
Dah... yaani hapa sipati picha jinsi Le Mutuz Masauti ya Umeme anavyopatamani angekuwa yeye, u know...DANGOTEEEEEEE!!!!! ACHA MOVIE IENDELEEE!!!!
![]()
![]()
![]()
Ripoti kamili tuisubiri leo saa8 kamili,lemutuz ataweka mambo hadharani.
Mi mwenyewe nna ngoma wakati huyo Zari mwenyewe niliishia kumtazama kwenye album tu ya my cousin...
NGOMA... unafikiri nakutamani kwa sababu gani? Nataka nikupe zigo ili na wewe ukampe yule mzee wako anayekutamani manake hiyo ndiyo pekee itakayomsaidia kupunguza mwili... nondo pale haipigi dafu... hata akibeba meli haitamsaidia... kwahiyo hii ndo njia muafaka ya kumsaidia!!!OMG!!!!Eti una nini? 😕😕
Shoga hauna namba zake huyo Paul Okoye unirushie...
Namba ya paul atakua nayo jide tumtume warumi atuletee
Naona umefurahi kwangu hii habari mbaya si unajua navyompendaga Wema
Picha utapata shoga angu, manake waambia Sinta sina ana ubest fulani na Zari ndio walikua maeneo ya kujidai.. anawapiga picha full kuzituma kwa wambea wa mji nao wanaturushia wapenda ubuyu..
Hatumi ye moja kwa moja anajua yasije mshukia ya kumshukia
Lakini usijali si unajua wema ana pedejee nae, ,na watarudiana tu na dai maana nasikia eti wameachana na wema ndie aliemuacha Dai
kipindi kile china mlimbiwa movie na wote mkakubali hahaha huyu jamaa anacheza na akili zenu au na ww mwanafunzi wa B.R.NJaman hiyo ni shutting ya wimbo wao mpya jaman
NGOMA... unafikiri nakutamani kwa sababu gani? Nataka nikupe zigo ili na wewe ukampe yule mzee wako anayekutamani manake hiyo ndiyo pekee itakayomsaidia kupunguza mwili... nondo pale haipigi dafu... hata akibeba meli haitamsaidia... kwahiyo hii ndo njia muafaka ya kumsaidia!!!
Sipati picha muke ya muzungu alivyovimba kwa wivu anatamani zari angekua shoga yakee heheeher
Sinta mwaego umependezaaa na boss lady