Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Kwa mapicha anayotupia le mutuz IG,huyu zari kashatafunwa na tandale boi.Kajamaa kanafaidi mweh.
 
Ripoti kamili tuisubiri leo saa8 kamili,lemutuz ataweka mambo hadharani.
 
Naomba urushe picha zoteee ni shidaaaaa,hivi Wema hajatoa tamko hhhhhhaaa kama kipindi kile kwa jokate

Picha utapata shoga angu, manake waambia Sinta sina ana ubest fulani na Zari ndio walikua maeneo ya kujidai.. anawapiga picha full kuzituma kwa wambea wa mji nao wanaturushia wapenda ubuyu..
Hatumi ye moja kwa moja anajua yasije mshukia ya kumshukia
 
Da amskini mama somo anampoteza mwane hivihivi huyu demu alikuwa mwislam akabasil dini kwa ajili ya kuolewa na mume mwenye pesa mwanamme kamuacha nadhani kwa sasa hana pesa kam zamani ila kwa dogodofo domo pole usione umepata umepatikana tunapoteza mwanamuziki maskini hivihivi tunaona
 
DANGOTEEEEEEE!!!!! ACHA MOVIE IENDELEEE!!!!

IMG-20141108-WA0038.jpg

IMG-20141108-WA0042.jpg

IMG-20141108-WA0043.jpg
Dah... yaani hapa sipati picha jinsi Le Mutuz Masauti ya Umeme anavyopatamani angekuwa yeye, u know...
 
OMG!!!!Eti una nini? 😕😕
NGOMA... unafikiri nakutamani kwa sababu gani? Nataka nikupe zigo ili na wewe ukampe yule mzee wako anayekutamani manake hiyo ndiyo pekee itakayomsaidia kupunguza mwili... nondo pale haipigi dafu... hata akibeba meli haitamsaidia... kwahiyo hii ndo njia muafaka ya kumsaidia!!!
 
Shoga hauna namba zake huyo Paul Okoye unirushie...

Namba ya paul atakua nayo jide tumtume warumi atuletee
Naona umefurahi kwangu hii habari mbaya si unajua navyompendaga Wema

Lakini usijali si unajua wema ana pedejee nae, ,na watarudiana tu na dai maana nasikia eti wameachana na wema ndie aliemuacha Dai
 
Picha utapata shoga angu, manake waambia Sinta sina ana ubest fulani na Zari ndio walikua maeneo ya kujidai.. anawapiga picha full kuzituma kwa wambea wa mji nao wanaturushia wapenda ubuyu..
Hatumi ye moja kwa moja anajua yasije mshukia ya kumshukia

Na kuna mtu alisema huyu ni sinta anaewapiga pichaa, ,bado picha wakiwa kitandani tuu hhhhaaa
 
Sipati picha muke ya muzungu alivyovimba kwa wivu anatamani zari angekua shoga yakee heheeher
Sinta mwaego umependezaaa na boss lady
 
Lakini usijali si unajua wema ana pedejee nae, ,na watarudiana tu na dai maana nasikia eti wameachana na wema ndie aliemuacha Dai

Ngoja aende akalee watoto wanne...., manake watoto washaanza kufananishwa na baba wa kufikia

diamond..., hiyo numer hauna na mie nifanye project. BYE
 
NGOMA... unafikiri nakutamani kwa sababu gani? Nataka nikupe zigo ili na wewe ukampe yule mzee wako anayekutamani manake hiyo ndiyo pekee itakayomsaidia kupunguza mwili... nondo pale haipigi dafu... hata akibeba meli haitamsaidia... kwahiyo hii ndo njia muafaka ya kumsaidia!!!

Hahahahahaaaaaah...
Lol
 
Sipati picha muke ya muzungu alivyovimba kwa wivu anatamani zari angekua shoga yakee heheeher
Sinta mwaego umependezaaa na boss lady

Eeh sintah na zari wapi na wapi au ndo mbeba mapochi wake, maana hawaendan hat kidog, sintah mswaz sana
 
Back
Top Bottom