Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

kwani hujui boss wako domo amekamatia kikongwe cha uganda mama yake Pinto?

Ndo maana wameungana penny,wema na wolper looh mademu wa kibongo kwa umalaya pyuuuu, huyo ndomo zari atamuweza? Maana yule demu sio wa kuendeshwa ovyo kama akina mama ubaya, ana pesa chafu yule ooh
 
Ndo maana wameungana penny,wema na wolper looh mademu wa kibongo kwa umalaya pyuuuu, huyo ndomo zari atamuweza? Maana yule demu sio wa kuendeshwa ovyo kama akina mama ubaya, ana pesa chafu yule ooh

Hata asipoendeshwe Daimond anaosha rungu tu jamaniii heheeeiyaaaa
 
Nasikia na leo wako wote ati... Ama kweli dimondi kiboko yaoo. Team kiba wapi?? Wakati kiba akihangaika na show za masasi, dimondi kapumzika na le bilionea.. Ama kweli Sir God hana huruma hahaha

Jamani nimecheka mpaka nikapata kichomiii,,yaan kuna mapicha huko yanarushwaa tuuu ni shidaaaaaaa hapa mjiniiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…