Zari ashakuja bongo mara nyingi lakini hajaongelewa sana kama ilivyo sasa yupo na Daimond
Daimond kamfanya Zari aongelewe hiz siku si mchezoooooo Almas
Production crew ya nini... hiyo nyingine yaonesha kama wako studio vile....
All in all ngoja tuendelee kungoja kuona hiyo ni project gani???
Lakini wamependezaaa
Na ww fanya mpango kabla msukuma hajakufubaza
Hahahaaaa umenichekesha hatariiii...Mimi nasikia hii habari siielewi...
Anataka kuzungumzia urafiki wa watu gani?
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Ila nimesikia ni new video maybe iko hivyo
le mutuz ni hatari,katoka kwa mkongo,sasa kaingia kwa Zarina,huyu baba kwa kurukia matukio hajambo
Eee wazee hawajui kukuna vizurii,ila zari hana maskendo ya ajabu kama Hudda
alikua anataka jina bongo wamjue km kwao ndo amepata sass
hudda hana mtoto,hana future yupo yupo tu
huwezi mlinganisha hudda na zari ht kidogo
zari ana watoto wakubwa na kiumri ana38yrs
ina maana karuka stage
sie sie hapa kutwaa kumponda mama wema kwa kujifananisha na vtoto what about zari?

ila wameendana,naona leo insta team wema wamebaki kulalamika tu
Hiyo nayo inachangia,sasa anatoa tamko.Sijui ndo msemaji wa hao wahusika?Mimi naona kama ataharibu kabisa,any way ngoja tuone ataongea nini?Yaan sijui kutokua na familia ndo kunamfanya hivyooo labdaaaaa
Wanaendana vipi na mama wa miaka 38 wakati hata miak 25 hajafika? Hauko serious.
Huyo mama mzuri kuliko wema