Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Production crew ya nini... hiyo nyingine yaonesha kama wako studio vile....

All in all ngoja tuendelee kungoja kuona hiyo ni project gani???

haaaaaa mpwaa...kasubirie getini Double Tree by Hilton wapo chumbaniii.....

Diamond ni sukari ya wanawake wote duniani....kwa hiyo zero distance lzma Zari ashatomb.wa....atakoma!!
 
Hahahaaaa umenichekesha hatariiii...Mimi nasikia hii habari siielewi...
Anataka kuzungumzia urafiki wa watu gani?

Anataka kuongelea project ya Domo na huyo mzee mwanzangu Zari.

Wewe usichezee station wala kuzungusha Antena, saa 8 mchana Le Mutuz atatiririka.
 
le mutuz ni hatari,katoka kwa mkongo,sasa kaingia kwa Zarina,huyu baba kwa kurukia matukio hajambo
 
Eee wazee hawajui kukuna vizurii,ila zari hana maskendo ya ajabu kama Hudda

alikua anataka jina bongo wamjue km kwao ndo amepata sass
hudda hana mtoto,hana future yupo yupo tu
huwezi mlinganisha hudda na zari ht kidogo
zari ana watoto wakubwa na kiumri ana38yrs
ina maana karuka stage
sie sie hapa kutwaa kumponda mama wema kwa kujifananisha na vtoto what about zari?
 
Hivi humpendi mtu lakini unamfollow.tuache tunaempenda le mmbeya
 
alikua anataka jina bongo wamjue km kwao ndo amepata sass
hudda hana mtoto,hana future yupo yupo tu
huwezi mlinganisha hudda na zari ht kidogo
zari ana watoto wakubwa na kiumri ana38yrs
ina maana karuka stage
sie sie hapa kutwaa kumponda mama wema kwa kujifananisha na vtoto what about zari?

Zari hana miaka 38 msikuze jamaniii, ,,,na hana ubibi wowoteee kwanza ukimpanga na bongo movie nzima hayupo anaemfikiaa zari kwa uzuri na urembo
 
alikua anataka jina bongo wamjue km kwao ndo amepata sass
hudda hana mtoto,hana future yupo yupo tu
huwezi mlinganisha hudda na zari ht kidogo
zari ana watoto wakubwa na kiumri ana38yrs
ina maana karuka stage
sie sie hapa kutwaa kumponda mama wema kwa kujifananisha na vtoto what about zari?

Kama ana miaka 38 halafu anafanya vituko hivi namsikitikia sana, pesa zinaharibu baadhi ya watu mfumo wao wa ubongo.

Diamond sina cha kumlaumu background yake inamtetea kuwa na vituko na kuepuka kuitwa hater.
 
Huyo mama mzuri kuliko wema

Mwanaume anayeweza kubeba wamama over age ni Marioo tu na Diamond siyo Marioo ana pesa zake ni kwa nini hata visivyosahihi mnalazimisha vionekane viko sawa?

Kama ni mademu bomba hapa mjini wapo wakutosha tena rika lake, anyway wacha niishie hapo maana sina ndimu wala limao hapa.

Ngoja nimsake Le Mutuz kwanza saa 8 imeshapita.
 
Back
Top Bottom