umekatazwa kumpenda kwanii...?!
aiseeh...!!
punguza maneno my dear am telling..!!
vitu vidogo sana!!
hawa watu wa humu with fake ids wasikupe presha hvyoo
ht km hawakulishi,hawakuvishi na hawakujui
pleaseee dina(am sory if u caught me wrong)
shogangu punguza mdomo mchafu llooooohhh...!!!
Hakuna anaenipa preshaaa,nimerelax kabisaaaa, na hujui tulipoanzia,haiwezekani nitaje Dai mtu achanganyikiwe vidole na kutype mavi,, maneno tumeumbiwa ni kawaida tu kwa binam maana silipii vat halaf usijifanye mshauri sana
We pita tu kama hujaona,
nimeona sana mlipoanzia anaekwambia ukweli anakupenda japo hatujuani wangu
ishu sio team moja wala mbili
na wala siwezi kukupangia ya kuongea
Eeee unafiki huu yangu tu umeona machafu eeee
Kisa tim moja eeeeee ,nifanyieni surgery ya mdomo kwanza siongei na mdomo humu ninaandikaaa
Halaf stak ushaurii
whatever is excellent
u may take it or leave it
sawa mine
siwezi kuwa adui kwa hilo
😎:🙄:😎😎😎😎
hahahaaaaaa!!!
hii kabati ni ya mninga au mpingo??
Nilikuwa najifanyisha tu wewe... kila utakachosema lazima nikiamini tena hapo hapo!Habari ndo hiyoooo
Nakutegeshea tuuu siku ukihabuka habuka humu nami najifanya mshaurii
Nilikuwa najifanyisha tu wewe... kila utakachosema lazima nikiamini tena hapo hapo!
Team Alikiba wana kiherehere sana, kwenda na ndege nayo ni starehe, kuendeshwa na mtu aliyesmea geografia ya dunia sio mchezo.
Eeee unafiki huu yangu tu umeona machafu eeee
Kisa tim moja eeeeee ,nifanyieni surgery ya mdomo kwanza siongei na mdomo humu ninaandikaaa
Halaf stak ushaurii
Maliziaaaaa..............
Haha hahahaaaah si unasemaga hutokwi povu wewe?leo imekuwaje?
Haha hahahaaaah si unasemaga hutokwi povu wewe?leo imekuwaje?
Basiii yaishe tupige domoo hapa baraza la raha,huyo Diamond hata hatufahamiani naye,vikombe pia hugongana(sio ushauri usije ukanimeza bure)Afadhali mie we kibokooo,leo nimemeza omo,,,,
Afadhali mie we kibokooo,leo nimemeza omo,,,,