Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
umekatazwa kumpenda kwanii...?!
aiseeh...!!
punguza maneno my dear am telling..!!
vitu vidogo sana!!
hawa watu wa humu with fake ids wasikupe presha hvyoo
ht km hawakulishi,hawakuvishi na hawakujui
pleaseee dina(am sory if u caught me wrong)
Hakuna anaenipa preshaaa,nimerelax kabisaaaa, na hujui tulipoanzia,haiwezekani nitaje Dai mtu achanganyikiwe vidole na kutype mavi,, maneno tumeumbiwa ni kawaida tu kwa binam maana silipii vat halaf usijifanye mshauri sana
We pita tu kama hujaona,