Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Toka daimond Alivojipumzisha kwa Kidoti kuaanzia hapo nikasema kumbe wanawake wote ni grade moja tuu so hakuna kinachoshindikana mkuu
Mwanamke atatembea na Mwanaume as long ana dudu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka daimond Alivojipumzisha kwa Kidoti kuaanzia hapo nikasema kumbe wanawake wote ni grade moja tuu so hakuna kinachoshindikana mkuu
Hahahahaaaa uwiiiiiiii. Jamani huyu lemutuz khaaa!!
Hii kabati ni ya mninga au mpingo??
Ha ha haHiyo itakuwa kabati ya mninga mkuu.
dah mkuu umejionea plate no. zake kila gari zina gna lake hana njaa ya pesa huyu diva hata we anakuonga
Ana magari mengi tena ya maana. Nyumba yake ni km 8 star hotel. Ana hela chafu ila ndo hajiskii yuko down to earth.
Ha ha ha
Nadhani hilo ni freezer la kuhifadhia nyangumi akiwa hajakatwa
Wala sina team mpnz ila ninachojua zari alipanda Ndege moja na dai...walikutana ndani .... Tyeena anakuja kumuona mtoto wa sintah....how sweet.
Utajiri WA mu Africa huo Wanawake. Hatufikirii Ku invest kwenye miradi ya maana sisi tunawaza papuchi tuu
Kama biashara yake ni boutique tu nakataa hizi plate number hata mimi naweza chongesha zikaandikwa Matola.
... Tyeena anakuja kumuona mtoto wa sintah....how sweet.
Eeeh nasikia anajihusisha na ngadaa...
ana hadi Lamborghini.Hakuna Diva yeyote East Africa anayemfikia
Eeeh nasikia anajihusisha na ngadaa...
Eeeh nasikia anajihusisha na ngadaa...
ngadaa ni lugha gani? inamaanisha
Ila mme wake ndio kamuwezeshaa etii,na pia ni wauza unga