Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Weee ni over 35 kama si 40. Kwa kuwa tu humpendi Wema usihalalishe hata pale diamond anapobug. Mbona mimi wema akikosea ninasema?? Wanawake kibao mjini wenye hela zao na wanaonekana vijana kwa kujitunza. So with money kila kitu sawa.

Ndio ukubalii tuuu kua Zari mzurii ni mrembo hakunagaaa,jamani warumi hivi yuko wapi jamaniii
Eeehe shoga hata wema kamzidi miaka Daimond, acha Daimond ale ujana jamaniiii, na ndo ujue kirungu cha Dai si mchezoo
Huyo Mange alie na wema tu eti ana libwana linampa mapene tu ndio asijifanye kulia lia sasaa maana mabwana anao,acha Dai nae awe nao tu.
 
Last edited by a moderator:

Hauko neutral kwenye argument...dai amebug vibaya mno. Muandalie nepi kabisa kwa kifuatacho ITV. Mie natoka ngoja nikatafute mpunga manake jf haitoi mafao. bdae
 
Last edited by a moderator:
Hauko neutral kwenye argument...dai amebug vibaya mno. Muandalie nepi kabisa kwa kifuatacho ITV. Mie natoka ngoja nikatafute mpunga manake jf haitoi mafao. bdae

Ukimwi hauchagui banaa b unaruka pia teh teh acha tu nicheke mamii tu leooo
 
umesahau Penny alivyoachwa?wolper,jocate,hamisa sijui menina,mwe kazi ipo,kama Wema kapata mwingine basi Diamond kasababisha

Mweeeee........umaarufu kazi kweli.......bora nibaki na huyu Masawe wangu........wanamjua kitaa tu.........tchaaaa..........
 
hahahaha.. nashangaa wanaotokwa povu huku ni wanawake.. Mwacheni Zari ale maisha na Diamond. kwanza wamependeza sana

Hatujatokwa povu bana........tunatafakari tu........mi Dai angetoka na Halle Berry kidogo ningecheua.........japo pia kwa Zari sio pafupi.......
 
mh kaz kwelkwel yaan wavulana wenye ndugu wazur,wenye pesa na maarufu lazma wamuite diamond shemejiii
 
hahahaha.. nashangaa wanaotokwa povu huku ni wanawake.. Mwacheni Zari ale maisha na Diamond. kwanza wamependeza sana

Kweli wamependeza! vipi safari ya kwenda miss world mwakani umeshaanza maandalizi? nafanya mpango Dai na Zari wakusindikize.
 
zari naye ni mwanamuziki.inawezekana kamshirikisha diamond..ila km kuna la ziada basi jay z awe makini kwa mkewe beyonce diamond is on fire
 
Back
Top Bottom