Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Shule muhimu binamu, leo hii nyumba ya vyumba vinne inaitwa hekalu, sasa lile ghorofa la mtoto wa wazir kule mikochen tunaliitaj labda? Nyie watu wanajua kuchekesha, ila anawapata mamburula wenzie form four failures
Education is sex aisee asikudanganye mtu shule inakusaidia hata kujua hiki ni right kuongea kwa mda unaotakiwa au siyo. Sasa nyumba za vyumba vinne ni hekalu nalo wakati kijijini kwetu ni nyumba za kawaida mno tena hazina wakaaji. Kuna watu wana migorofa iliyoenda shule na hawapigi kelele hizo loh. Lack of exposure ni janga.