Diamond atelekeza watoto wa shule

Diamond atelekeza watoto wa shule

Shule muhimu binamu, leo hii nyumba ya vyumba vinne inaitwa hekalu, sasa lile ghorofa la mtoto wa wazir kule mikochen tunaliitaj labda? Nyie watu wanajua kuchekesha, ila anawapata mamburula wenzie form four failures

Education is sex aisee asikudanganye mtu shule inakusaidia hata kujua hiki ni right kuongea kwa mda unaotakiwa au siyo. Sasa nyumba za vyumba vinne ni hekalu nalo wakati kijijini kwetu ni nyumba za kawaida mno tena hazina wakaaji. Kuna watu wana migorofa iliyoenda shule na hawapigi kelele hizo loh. Lack of exposure ni janga.
 
Watu wana ulimbukeni na maisha, sijui ushamba au nini, lady jaydee anakaa masaki, ana push range Rover, ana kibanda mbezi, ana biashara zake, ila ata siku moja huwezi kumkuta jide akijigamba kwa watu eti yeye ni tajir au anaishi vzur, tabia alizonazo diamond alipaswa kuwa nazo jide mwanamke, ivi haoni aibu anashindwa akili na mwanamke? Ye akinunua kijiko mji mzima atataka wajue utadhan ye ndio wa kwanza kuwa navyo, bora uwe mchawi kuliko kuwa mswahili

Hahahahahaaa binamu umesikia kuhusu masufuria ya bati yaliyokuwepo kwenye nyumba ya BILLIONAIRE chibu?
Ni shiiidah!
 
Education is sex aisee asikudanganye mtu shule inakusaidia hata kujua hiki ni right kuongea kwa mda unaotakiwa au siyo. Sasa nyumba za vyumba vinne ni hekalu nalo wakati kijijini kwetu ni nyumba za kawaida mno tena hazina wakaaji. Kuna watu wana migorofa iliyoenda shule na hawapigi kelele hizo loh. Lack of exposure ni janga.

Ohooooo unaharibu sasa mpenzi.Husikii tunaambiwa tunajishaua wakati hakuna lolote?
Ukisema hivyo ndio utazidi kuunguza roho za wanafki...
Anyways, acha waungue tu kwani kitu gani bwana?
Hatuwezi kushindwa kujielezea jinsi tutakavyo kisa mafukara fulani.
 
Hahaaaa best angu acha tu life is to short let's enjoy life. Kuweka vitu moyoni hakupendezi bora kufurahi mwenzangu loh!

That's why I love you my Diva Beyonce. Hunaga fikra za kimasikini, kuweka vitu rohoni ni kujizeesha tu na kujiua kwa pressure.
Vinyongo tuwaachie akina bibi mashavu ama nini?
 
Last edited by a moderator:
Ohooooo unaharibu sasa mpenzi.Husikii tunaambiwa tunajishaua wakati hakuna lolote?
Ukisema hivyo ndio utazidi kuunguza roho za wanafki...
Anyways, acha waungue tu kwani kitu gani bwana?
Hatuwezi kushindwa kujielezea jinsi tutakavyo kisa mafukara fulani.

Tatizo la wengi ni unafiki umewajaaa mno. Wao wakionacho kuwa bora kumbe kwa mwingine ni kawaida mno tena sana Mara wivu sijui nini? Kah eti hekalu my foot hizo ziko vijijini na hazina watu sembuse eti hekalu la kwenye mkondo wa maji. Hahaaaaa they can't be serious aisee.Wajipange kujisifia vitu visivo na kichwa wala miguu.
 
Education is sex aisee asikudanganye mtu shule inakusaidia hata kujua hiki ni right kuongea kwa mda unaotakiwa au siyo. Sasa nyumba za vyumba vinne ni hekalu nalo wakati kijijini kwetu ni nyumba za kawaida mno tena hazina wakaaji. Kuna watu wana migorofa iliyoenda shule na hawapigi kelele hizo loh. Lack of exposure ni janga.

Tunaambiwa hekalu, hahahaha ushamba mzigo jaman khaa, watoto wa uswazi wanatuaibisha sana
 
warumi wala hanipi shida hata chembe!najua ni mswazi kama mimi basi tu leo ameamua kujitoa ufahamu!chezea warumi wewe!usipomwelewa atakupandisha kichwa moto!

Aahahahh, mimi sipo kama wengi wanavyonifikiria, wachache tu ndo wananijua vzur mimi ni nani, nipo nchi gan, nafanya nn, Mtanzania au, ipo siku mtajua, mtashangaa sana yani
 
Mswahili siku zote ni mswahili ata aende, sufuria limepinda kama tako la masogange mxiuuu billionaire my foot

Hahahahahaha uwiiiiiii warumi sitaki tena, pls usiendelee kunichekesha hivi!
 
Last edited by a moderator:
That's why I love you my Diva Beyonce. Hunaga fikra za kimasikini, kuweka vitu rohoni ni kujizeesha tu na kujiua kwa pressure.
Vinyongo tuwaachie akina bibi mashavu ama nini?

Me too ma dia na ku admire hatari una exposure ya juu and you think out of the box. In short una exposure na huwezi kupiga mafumbo ya kijinga jinga simply kwa sababu unajielewa.
Cha kufia nini kuhangaika kule na mi I'd kibao kuhangaika na ya jf.
Best umenichekesha hapo kwa kina bibi mashavu ka wapuuliza moto. Hahaaa kuweka vinyongo kutawauma bure. Hahaaaaa umenifurahisha mno.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la wengi ni unafiki umewajaaa mno. Wao wakionacho kuwa bora kumbe kwa mwingine ni kawaida mno tena sana Mara wivu sijui nini? Kah eti hekalu my foot hizo ziko vijijini na hazina watu sembuse eti hekalu la kwenye mkondo wa maji. Hahaaaaa they can't be serious aisee.Wajipange kujisifia vitu visivo na kichwa wala miguu.

Hahahahahaaa uwiiiii! Bora King Kiba wetu yuko zake kunduchi anakula upepo wa bahari karibu na kwa Mdakuzi wangu.
Chezea watu na ma baby zetu wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa uwiiiii! Bora King Kiba wetu yuko zake kunduchi anakula upepo wa bahari karibu na kwa Mdakuzi wangu.
Chezea watu na ma baby zetu wewe?

Bora kula upepo wa Indian ocean kwa karibu na kwa raha sio kwenye mkondo wa maji mvua ikinyesha unawaza kudondokewa na nyumba bureee.
 
Last edited by a moderator:
Me too ma dia na ku admire hatari una exposure ya juu and you think out of the box. In short una exposure na huwezi kupiga mafumbo ya kijinga jinga simply kwa sababu unajielewa.
Cha kufia nini kuhangaika kule na mi I'd kibao kuhangaika na ya jf.
Best umenichekesha hapo kwa kina bibi mashavu ka wapuuliza moto. Hahaaa kuweka vinyongo kutawauma bure. Hahaaaaa umenifurahisha mno.

OMG! Am speechless! .....
Thanks love!

Hahahahaaa chezea bibi shavu wewe, mkorogo ndio umelala pale.Ndio maana Mungu alimnyima ngozi ya Mtume kwa roho yake mbaya na vinyongo hadi inabidi alazimishe mwenyewe.
 
Tena hekalu liko kwenye mkondo wa maji ati! Wonders shall never end loh!

Ajabu ya BILLIONAIRE kujenga kwenye mkondo wa maji! Mvua ikianza kunyesha inabidi wahame, na kama ni usiku basi usingizi hakuna!
Khaaaa, cha kujifia kwa pressure nini? Halafu eti tunaambiwa ana bima, kweli mtu akubali kutupa pesa zake kujenga 'HEKALU' kwenye mkondo wa maji kisa ataikatia bima? Ama kweli mdomo umezidi kichwa.
 
Bora kula upepo wa Indian ocean kwa karibu na kwa raha sio kwenye mkondo wa maji mvua ikinyesha unawaza kudondokewa na nyumba bureee.

Teynaaaa!Kiukweli mimi nilivyo mwoga hata kama unijengee ukuta imara kiasi gani ila nikishajua hiyo nyumba iko bondeni au kwenye mkondo wa maji sikai hata iwe nzuri kiasi gani.
Siwezi kuishi kwa hofu na mashaka kabisaaaa.
 
OMG! Am speechless! .....
Thanks love!

Hahahahaaa chezea bibi shavu wewe, mkorogo ndio umelala pale.Ndio maana Mungu alimnyima ngozi ya Mtume kwa roho yake mbaya na vinyongo hadi inabidi alazimishe mwenyewe.

Hahaaaaa bibi mashavu mchezo atakufa na kijiba cha roho mwanamke kubeba watu na fake I'd mchezo.
 
Ajabu ya BILLIONAIRE kujenga kwenye mkondo wa maji! Mvua ikianza kunyesha inabidi wahame, na kama ni usiku basi usingizi hakuna!
Khaaaa, cha kujifia kwa pressure nini? Halafu eti tunaambiwa ana bima, kweli mtu akubali kutupa pesa zake kujenga 'HEKALU' kwenye mkondo wa maji kisa ataikatia bima? Ama kweli mdomo umezidi kichwa.

Na ndo faida ya kukosa uelewa unajenga kwenye mkondo wa maji kisa eti bima! Huko si kukosa akili kabisa pamoja na ubilionare wote akadhindwa kupata eneo zuri na kubwa kwenye kujenga kwenye mkondo wa maji utafikiri alikua anataka kulima mpunga.
 
Back
Top Bottom