Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
na hajui pia maana ya euro 100,000.Unajua maana ya BUNDES LIGA?
hiyo ndefu sana huu uwongo usio na mipaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hajui pia maana ya euro 100,000.Unajua maana ya BUNDES LIGA?
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.
Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.
Stay tuned.