Diamond atikisa Bundesliga

Diamond atikisa Bundesliga

Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.

Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.

Stay tuned.

mleta mada umetumwa wewe, unachotaka ni kuskia watu wakimtukana diamond tu sio kingine
 
Back
Top Bottom