Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Daah, Ommy kama anayosema ni kweli kwa mujibu a XXL basi domo ana wivu wa kishamba
diamond hana wivu
hawa watu walitaka kutembelea nyota yake..
yani yeye awe anawatafunia wana meza
sasa kawakacha
ndio maana kutwa nzima wanashinda maredioni kulia lia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanaume wa kigoma sijui vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Yuko wapi mr nice alijishusha na akapotea.
Acha kutete mjinga mwenzio.
Kwanini ajifiche au aishi kwa uoga kwani kipato chake nichakuomba?
 
Hawa waha wawili cku hiz wanatk kua kam wamekula vima nilkua namuheshimu mond na nilkua team yake asilimia 75 na kiba 25 sasa rasmi mimi ni timu kiba originali till now anajishusha sana mbna mwenzie hana makuu
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
 
Safi sana Diamond Platnumz,walikusakama sana toka kitambo ila kama binadamu uvumilivu unafika mwisho unatakiwa pia kureact,wapo wengi watakao ona unajiona,unamaringo unajidai huku wakishindwa kutambua kuwa ni mtu ambae unatikanwa sana,kila tusi lakini ulikaa kimya saiv umewatolea uvivu na naamini hawatoweza tena kupata kiki kupitia wewe na wakiendelea kuchonga endelea kuwapa what they deserve.binafsi napenda unavyowajibu maana wewe siyo mnafiki.
 
nimeshangaa hilo swali kwanini hawakumuuliza pale pale!
 
Maisha ya mtu yeyote hayanihusu. .si Diamond, si Ommy wala yeyote yule. .ukiwa na hasira na maendeleo ya wanaokuzunguka unaweza kuwa mchawi... nani alikwambia masikini atabaki kuwa masikini? jipange na wewe utatoka lakini si kwa kuombea mabaya walio jaribu bali kwa kuiga mazuri yaliyo wafikisha hapo
 
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Ila habari ndo hyo mkuu hyo ni mawazo yako nackiliza muzik wa pand zote ila kwa kaul za mond hazijanifurahisha hata kidogo
 
Mtanyooka tu ni mwendo wa vipara......diamond we fanya kazi acha wafu wauwane kisa mafanikio yako
 
I Have catch ya point
 
Ila habari ndo hyo mkuu hyo ni mawazo yako nackiliza muzik wa pand zote ila kwa kaul za mond hazijanifurahisha hata kidogo
Sawa mkaka wa team kiba, kanunue na tisheti yenye picha yake kisha nunua na mapicha yake kabandike na geto, kwenye profile picha ya FB yako weka picha yake na kwenye wasapu yako pia, kwenye simu weka muito wa nyimbo zake tu.
 
Mond aliyoyasema kwa maisha ya kibinadamu na kwa mtu aliefanikiwa maana ukiwa unashika buku buku ukiondoka kwenye kushika buku buku ukaongezeka kipato ukaanza kushika laki5 milion jua kabisa n lazima ubadili marafiki marafiki zako sio wale tena uliokawa unashikano buku buku na ndio ambao umesotanao kwa mda mrefu kuelekea kwenye mafanikio kwaiyo ukiwa huonekan tena kijiwen unakutana tu juu kwa juu na rafiki zako mnapeana Hi.. Na mda wa kuongeanao unakuwa mdgo sana lazima washikaji waanze kulalamika jamaa sikuiz anajiona matawi amesahau alikotoka eeeh, mtazamo wangu mm wa kijinga n kwamba Platnumz alichokosea n kupanic na kwenda kujibu kwenye media alipoona anachangiwa na mfano At na vijembe vyake uku Ommy icho kitu kimpeleka sehemu ngumu sana kwa huelewa wetu cc waTz *ila mm nawaombea Mungu wayamalize huo ushindani ubakie kwenye mziki wenyewe na sio kwenye maisha binafsi .....angekaa kimya lilikuwa jibu sahihi sana kuliko chaguo hili, mnisamehe lkn mtazamo wangu mdgo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…