Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Daah, Ommy kama anayosema ni kweli kwa mujibu a XXL basi domo ana wivu wa kishamba
diamond hana wivu
hawa watu walitaka kutembelea nyota yake..
yani yeye awe anawatafunia wana meza
sasa kawakacha
ndio maana kutwa nzima wanashinda maredioni kulia lia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanaume wa kigoma sijui vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Diamond ana tatizo gani awe na maadui kiasi hicho? mara kiba, mara Davido, wema, Jokate bila kusahau baba yake mzazi wote wamemkosea? Diamond siyo malaika acheni kukumbatia ujinga na mkumbusheni Hakuna kinachobaki juu daima matabaka anayojiwekea leo ndo yatakayomuangamiza

Yuko wapi mr nice alijishusha na akapotea.
Acha kutete mjinga mwenzio.
Kwanini ajifiche au aishi kwa uoga kwani kipato chake nichakuomba?
 
Hawa waha wawili cku hiz wanatk kua kam wamekula vima nilkua namuheshimu mond na nilkua team yake asilimia 75 na kiba 25 sasa rasmi mimi ni timu kiba originali till now anajishusha sana mbna mwenzie hana makuu
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
 
Safi sana Diamond Platnumz,walikusakama sana toka kitambo ila kama binadamu uvumilivu unafika mwisho unatakiwa pia kureact,wapo wengi watakao ona unajiona,unamaringo unajidai huku wakishindwa kutambua kuwa ni mtu ambae unatikanwa sana,kila tusi lakini ulikaa kimya saiv umewatolea uvivu na naamini hawatoweza tena kupata kiki kupitia wewe na wakiendelea kuchonga endelea kuwapa what they deserve.binafsi napenda unavyowajibu maana wewe siyo mnafiki.
 
sasa mimi nashangaa
kwani davido alivofanya collabo na chibu kakimbia?
au iyanya kaacha mziki?
si akafanye nae na yeye?!
ommy anataka kujifanya kama innocent alionewa ...
kila kitu kina mipaka bwana sio kufatana fatana kama wanawake!
halafu sasa kama diamond angekua na roho mbaya asinge wasainisha kina rich mavoko akawakuza!
diamond hajaziba ridhiki ya mtu yoyote.. mwenye kutaka kwenda international aende kimpango wake jamani njia siwanazijua?!

urafiki sio mpaka kwenye kazi! muziki ni ushindani kila mtu lazima afiche karata yake..
yeye ommy alitaka kubebwa mpaka lini??
nimeshangaa hilo swali kwanini hawakumuuliza pale pale!
 
Kwani Diamond ana tatizo gani awe na maadui kiasi hicho? mara kiba, mara Davido, wema, Jokate bila kusahau baba yake mzazi wote wamemkosea? Diamond siyo malaika acheni kukumbatia ujinga na mkumbusheni Hakuna kinachobaki juu daima matabaka anayojiwekea leo ndo yatakayomuangamiza
Maisha ya mtu yeyote hayanihusu. .si Diamond, si Ommy wala yeyote yule. .ukiwa na hasira na maendeleo ya wanaokuzunguka unaweza kuwa mchawi... nani alikwambia masikini atabaki kuwa masikini? jipange na wewe utatoka lakini si kwa kuombea mabaya walio jaribu bali kwa kuiga mazuri yaliyo wafikisha hapo
 
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Ila habari ndo hyo mkuu hyo ni mawazo yako nackiliza muzik wa pand zote ila kwa kaul za mond hazijanifurahisha hata kidogo
 
Mtanyooka tu ni mwendo wa vipara......diamond we fanya kazi acha wafu wauwane kisa mafanikio yako
 
Dunia ya sasa imebadirika sana hata tukiachana na habar za mond na ommy,ukitaka kuishi kwa raha mambo yako ya mafanikio au mipango yako heri uwaambie baba na mama kama hujaoa,au mshirikishe wife au husb au ndugu wa tumbo moja basii,wengine hawapaswi kujua wanapaswa waonee tuu kitu kimeishatendeka umdhaniae ndie kumbe sie na urafiki haufai kbs siku hiz
I Have catch ya point
 
dc9d85295572ef7d4d346509c0ce01b6.jpg
ILLUMINAT
 
Ila habari ndo hyo mkuu hyo ni mawazo yako nackiliza muzik wa pand zote ila kwa kaul za mond hazijanifurahisha hata kidogo
Sawa mkaka wa team kiba, kanunue na tisheti yenye picha yake kisha nunua na mapicha yake kabandike na geto, kwenye profile picha ya FB yako weka picha yake na kwenye wasapu yako pia, kwenye simu weka muito wa nyimbo zake tu.
 
Mond aliyoyasema kwa maisha ya kibinadamu na kwa mtu aliefanikiwa maana ukiwa unashika buku buku ukiondoka kwenye kushika buku buku ukaongezeka kipato ukaanza kushika laki5 milion jua kabisa n lazima ubadili marafiki marafiki zako sio wale tena uliokawa unashikano buku buku na ndio ambao umesotanao kwa mda mrefu kuelekea kwenye mafanikio kwaiyo ukiwa huonekan tena kijiwen unakutana tu juu kwa juu na rafiki zako mnapeana Hi.. Na mda wa kuongeanao unakuwa mdgo sana lazima washikaji waanze kulalamika jamaa sikuiz anajiona matawi amesahau alikotoka eeeh, mtazamo wangu mm wa kijinga n kwamba Platnumz alichokosea n kupanic na kwenda kujibu kwenye media alipoona anachangiwa na mfano At na vijembe vyake uku Ommy icho kitu kimpeleka sehemu ngumu sana kwa huelewa wetu cc waTz *ila mm nawaombea Mungu wayamalize huo ushindani ubakie kwenye mziki wenyewe na sio kwenye maisha binafsi .....angekaa kimya lilikuwa jibu sahihi sana kuliko chaguo hili, mnisamehe lkn mtazamo wangu mdgo tu.
 
Back
Top Bottom