hacker dickson
Member
- Nov 20, 2016
- 70
- 35
Wewe usionge hvyo Mali kitu gani kikubwa heshima unaweza kuwa na Mali kama una heshima utaonekana mshamba tu Kwa wtu ambao wanajielewa kama mimi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mtanyooka tu ni mwendo wa vipara......diamond we fanya kazi acha wafu wauwane kisa mafanikio yako
Hata ndugu wengine masnitch simshirikishi mtu labda baba na mama, na wife kwa mbaaliDunia ya sasa imebadirika sana hata tukiachana na habar za mond na ommy,ukitaka kuishi kwa raha mambo yako ya mafanikio au mipango yako heri uwaambie baba na mama kama hujaoa,au mshirikishe wife au husb au ndugu wa tumbo moja basii,wengine hawapaswi kujua wanapaswa waonee tuu kitu kimeishatendeka umdhaniae ndie kumbe sie na urafiki haufai kbs siku hiz
Point kubwaMambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Diamond hafikii kwa masanja wala jay Dee, yeye ni matangazo tu, yaan nyumba moja ndo inamfanya aone kafanikiwa, akina TRUMP watasema nini?diamond acha kujisifia kimafanikio AY yupo vzur kimaisha lakin hajisifu
Sasa kukimbia nini hapa nifah? Kwanza ni post ya saa 9:18 PM nami ndo kwanza naiona 2:54 AM; karibu saa 6 baadae na kama usingeni-mention; wala nisingeiona simply because niliona notification yako na ya atoto; nikaona hawa "wangu", ngoja ni-login nijue kulikoni... kwahiyo haina kukimbia bhana!!Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.
Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss
cc Chinga One chige The bold
Sasa MTU kama we bora ukae kmya,sio kwamba alishindwa kutoa pesa ila kwa nn diamond apandishe dau wakat dimpoz alikuwa ashaweka dau lake isitoshe ni washkaj waliokuwa wameshibana
Namie nashangaa kwani davido na iyanya wameacha kuimba? Si afanye hilo collabo
Issue ni kwamba, miaka nenda rudi hapa watu wamekuwa wakimwombea mabaya... tuache unafiki wa kujifanya waungwana!!Hata ukitafuta threads za kuomba mabaya hapa JF, nyingi ni za HATERS wa Diamond...!!! Kuombea mabaya ni roho za kishetani... sasa ikiwa kila wakati watu (wenye roho ya kishetani) wanahangaika kumuombea mtu mabaya lakini mabaya hayo mtu hayamkuti; there's no way kwamba mtu huyo atakuwa analindwa na nguvu za kishetani manake ni hizo hizo nguvu za kishetani zinazomuombea adondoke huku wakisahau there's ONLY ONE Protector; nae ni Mwenyezi Mungu! Tatizo lenu mnadhani fulani ndo anapaswa kubezwa; siku akisema "enough is enough" watu mnakuja na gia za "mimi sina timu yoyote!" Toeni comments kama mnavyo-feel na sio kujificha kwenye kichaka cha "sina timu yoyote" cuz' it means nothing!Sina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai
Naona unamwaga mapovu... hata huyo Yesu alikuwa na maadui, unashangaa kwa Diamond! Yaani bila aibu unamtaja Jokate na Wema kwenye hili?! Si ndo hao hao mlikuwa mnawashangilia kila walivyokuwa wanamkashifu jamaa... siku kapiga kombora moja tu kwa Jokate; basi hadi kesho haachi kulia lia...!!!Kwani Diamond ana tatizo gani awe na maadui kiasi hicho? mara kiba, mara Davido, wema, Jokate bila kusahau baba yake mzazi wote wamemkosea? Diamond siyo malaika acheni kukumbatia ujinga na mkumbusheni Hakuna kinachobaki juu daima matabaka anayojiwekea leo ndo yatakayomuangamiza
Hapo ndipo mnapokosea watu... hivi KABISA KABISA ulitarajia Dimpoz angesema "nilikuwa na-mind sana mshikaji alivyokuwa anapiga hatua?" Did you expect that? Nakubaliana na minji moja kwa moja and from my experience! One of my favorite song dunia hii ni "Machoni Kama Watu!" Do you know why?Nilikua na mawazo kama yako. Diamond kanishangaza..DAH NIMEJIFUNZA KITU KATIKA HILI KWAMBA UNAWEZA UKAWA NA MSHIKAJ WAKO SANA MMEKUA WOTE NA MME HUSTLE PAMOJA YAN UNAMUONA MWANA WAKO KABISA FOR BETTER FOR WORSE, YAN U TAKE HIM/HER AS A BROTHER/SISTER, NA ANAPOFANIKIWA UNAFURAHI, UNA HAMU KUKAA NAYE NA KUSHAURIANA MAMBO MBALIMBALI YA KIMAISHA, LAKIN KUMBE MWENZIO WALA ANAONA SIJUI UTAMPITA AMA VIPI, KUMBE WEWE WALA UKO FINE KABISA UMEWEKA UTU MBELE NA UNA VALUE THAT FRIENDSHIP KAMA MBONI YA JICHO LAKIN MWENZIO ANACHUKULIA POA, MARA ANAKUKWEPA ..LAKIN WEWE U JUST WANTED TO BE THERE FOR EACH OTHER NA SIO NANI ATAMPIKU NANI
Hujakosea.. ndio maana nimesema unaweza kuwa mchawi umejuaje sisomi malelezo ya bidhaa zangu ambazo nanunua? Umepatia kabisa huwa sisomi..kwakuwa sijui kusoma..Wewe akili huna Inaonyesha Hata vitu unavyonunua huwa hausomi maelekezo vizuri
Ndo nn kamas au machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaaah chige acha siasa zako wewe.Sasa kukimbia nini hapa nifah? Kwanza ni post ya saa 9:18 PM nami ndo kwanza naiona 2:54 AM; karibu saa 6 baadae na kama usingeni-mention; wala nisingeiona simply because niliona notification yako na ya atoto; nikaona hawa "wangu", ngoja ni-login nijue kulikoni... kwahiyo haina kukimbia bhana!!
Baada ya hiyo intro; nimesoma post husika... mbona naona kama ni wa kujibu ni mashabiki wa Ommy Dimpoz kuliko wa Diamond? Manake hapo Diamond kasema yake... wanaopaswa kujibu au kutetea ni mashabiki wa Dimpoz... lakini kwavile imezoeleka kwamba adui wa "adui" yako ni rafiki basi nilitarajia mashabiki wa Kiba ndio hasa wanaopaswa kujimwayamwaya kwenye huu uzi kuliko mashabiki wa Diamond!! Kwahiyo usishangae kutowaona mashabiki wa Diamond kwa sababu; hawana sababu ya kuja kwenye huu uzi na ndio maana ukiangalia... kama ni dongo la gizani aliyepigwa ni Dimpoz na yeye na watu wake ndo wanatakiwa kulia lia humu na sio mashabiki wa Diamond!!!
Mbona nimeshawahi kuongea kwa posts chache sema kwavile nipo tight; naingia JF nanusa; kisha huyoo!! Na kwa taarifa tu, nimeandika thread sasa hivi, hii hapa kuhusu huyo Dimpoz manake kaka enu anazidi kunitia mashaka...!!!Aaaaah chige acha siasa zako wewe.
Sijaongelea hii post (majibu ya diamond kuhusu alichokisema Ommy ktk interview)
Bali namaanisha sakata hili kwa ujumla.
Tokea hili sakata limeanza (na lilikolezwa juzi baada ya chibu kuitwa xxl kueongelea hili) umekuwa kimya sana.
Nilitamani kuona busara zako ktk hili [emoji12] lakini sijakuona kabisa ukilizungumzia ilhali upo jambo ambalo sio kawaida yako kabisa.