Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Mwenzetu kabarikiwa, akifa atazikw na Mali zake sie kapuku tutazikwa hivi hv na tecno zetu, aaah aah
 
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Mkuu naona wewe umebandika avatar ya Mugabe tena kavaa wigi.
 
Hata majambazi na wauaji wana mafanikio....hapo Diamond anajidanganya muda ukifika atadondoka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii
Vipi ile pension imeisha?Maana naona umerudi JF kwa fujo wakati sio kawaida yako.
 
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Mkuu naona wewe umebandika avatar ya Mugabe tena kavaa wigi.
 
Hivi Diamond wa Number One Remix na Diamond wa kabla ya Number I Remix; ni Diamond yupi hasa alitakiwa kumuogopa Ommy Dimpoz?! Kwanini hakumuhofia Dimpoz wa Me & You ambae ile ngoma hadi kesho sidhani kama Dimpoz mwenyewe ameweza kuifunika?!
 
Kilichokuwepo sasa ni tuhuma za Diamond kulala na mama yake (sipendi kabisa kuliongelea hili japo nalijua tokea kitambo)

Wewe hili la Ommy na mama Chibu umelipatia wapi?
Ina maana hukumsikia jana akisema "unasema unampumulia mtu, afu unamkuta na taulo anatoka chumbani kwa mama yako, utamwita uncle au dady?" Kwa masikio yangu mawili nilosikia alivyokuwa anahojiwa na clouds jamaa wakauliza whaaat.
 
Kwahyo ss hv ndo uvumilivu wake umeshafika kikomo..?? Au na ww hujui ila unahisi?? Ni bora na yeye akaweka wazi ili kuondoa hii sintofahamu kuliko akikaa kimya. Kukaa kwake kimya kunafanya watu waamini kwmb yaliyosemwa ni ukweli. Ni bora akaelezea kuliko kutukana mtandaoni mpk kudhani Mungu kakosea mahesabu.
 
Nani kamdanganganya Diamond kuwa mafanikio ndiyo kipimo cha uzuri wa roho ya mtu??

Huyu mtu amepanic jamani msaidieni asijekufanya vitu vya aibu zaidi.
Domo hajaenda shule but kapata bahat nzur ya kutembea nchi mbali mbali duniani, nashangaa sijui ni vitu gan anajifunza kama bado hana ustaarabu na hekima watu wengine bure kabisa
 
Kwa mahojiano aliyofanya Ommy amesababisha team ndomo kwenda chooni kulia na kumkana mond mara 3 kama Petro.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii
Vipi ile pension imeisha?Maana naona umerudi JF kwa fujo wakati sio kawaida yako.
Hao akina Lulu, tunda, wema, wolper wanaendesha magar kwa kutegemra wanaume na ushirikina, huwezi kusema ungu kawabariki, tamaa ndo zimewafilisha pale
 
Hahahahahaha...!! Unajuaje kma hajidai?? Wewe ni mtu wke wa karibu au ni shabiki wake tu mtandaoni?? Watu bana, yawezekana hata hamfahamiani ila unaweza kumuelezea kma mtoto wko vile. Tupunguze mahaba jamani.
 
Wewe usionge hvyo Mali kitu gani kikubwa heshima unaweza kuwa na Mali kama una heshima utaonekana mshamba tu Kwa wtu ambao wanajielewa kama mimi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Heshima pesa mkuu...kama hauna pesa hata hiyo busara yako itaonekana sifuri.
 
Subirini muda utafika na mtaambiwa ukweli. Kuconclude mambo wakati story ipo one sided hilo nalo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG]
 
Kilichokuwepo sasa ni tuhuma za Diamond kulala na mama yake (sipendi kabisa kuliongelea hili japo nalijua tokea kitambo)

Wewe hili la Ommy na mama Chibu umelipatia wapi?
Mh!.....hadi mtu alale na mama yake Mara nyingi inakua ni mashart ya mganga. Ila siamini kama Diamond alifanya hivyo coz sikuwashikia miguu mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…