warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mwenzetu kabarikiwa, akifa atazikw na Mali zake sie kapuku tutazikwa hivi hv na tecno zetu, aaah aahKuna ukweli .......mafanikio ni tofauti na baraka, vijana/ watu wengi wana mafanikio ila mafanikio yao hayajabarikiwa, why?! Mungu ndio mtoa baraka na mafanikio yasokua na masharti. Ila shetani anaweza kukupa mafanikio (kwa masharti) ila uwezo wa kukubariki hana.
Kwa maana hiyo basi, DIRECTION is important than SPEED. Mtu asijivunie kuwa na speed kubwa ilihali yupo kwenye uelekeo ambao sio sahihi. Bora uwe na speed kama ya konokono ila uwe katika direction sahihi.
NB sina team na sitarajii kuwa na team za kibongo fleva.