Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Kuna ukweli .......mafanikio ni tofauti na baraka, vijana/ watu wengi wana mafanikio ila mafanikio yao hayajabarikiwa, why?! Mungu ndio mtoa baraka na mafanikio yasokua na masharti. Ila shetani anaweza kukupa mafanikio (kwa masharti) ila uwezo wa kukubariki hana.
Kwa maana hiyo basi, DIRECTION is important than SPEED. Mtu asijivunie kuwa na speed kubwa ilihali yupo kwenye uelekeo ambao sio sahihi. Bora uwe na speed kama ya konokono ila uwe katika direction sahihi.
NB sina team na sitarajii kuwa na team za kibongo fleva.
Mwenzetu kabarikiwa, akifa atazikw na Mali zake sie kapuku tutazikwa hivi hv na tecno zetu, aaah aah
 
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Mkuu naona wewe umebandika avatar ya Mugabe tena kavaa wigi.
 
Hata majambazi na wauaji wana mafanikio....hapo Diamond anajidanganya muda ukifika atadondoka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii
Vipi ile pension imeisha?Maana naona umerudi JF kwa fujo wakati sio kawaida yako.
 
Mambo ya team achia watoto wa kike wewe, mwanume unatakiwa upende mziki wa mtu au uuchukie mziki wa mtu, sio vigezo vya kumpenda au kumchukia anaeimba. Nyie ndo mnabandika mapicha ya wanaume wenzenu kisa mie team nyoko sijui.
Mkuu naona wewe umebandika avatar ya Mugabe tena kavaa wigi.
 
Diamond pia ni mwanadamu, hawezi kukubali flani awe juu y[U[/URL]ake, hivyo majungu, fit in a bad choko choko lazima awe nazo kama wengine, but anakosea kujigamba hadharani eti mungu kambarik yeye kuliko mwingine, naon kanfanya mungu baby take, hajui mungu so binafamu, lbda kama Ana mugu bahari anayemwabudu
Hivi Diamond wa Number One Remix na Diamond wa kabla ya Number I Remix; ni Diamond yupi hasa alitakiwa kumuogopa Ommy Dimpoz?! Kwanini hakumuhofia Dimpoz wa Me & You ambae ile ngoma hadi kesho sidhani kama Dimpoz mwenyewe ameweza kuifunika?!
 
Kilichokuwepo sasa ni tuhuma za Diamond kulala na mama yake (sipendi kabisa kuliongelea hili japo nalijua tokea kitambo)

Wewe hili la Ommy na mama Chibu umelipatia wapi?
Ina maana hukumsikia jana akisema "unasema unampumulia mtu, afu unamkuta na taulo anatoka chumbani kwa mama yako, utamwita uncle au dady?" Kwa masikio yangu mawili nilosikia alivyokuwa anahojiwa na clouds jamaa wakauliza whaaat.
 
Watu wanafiki sana, Diamond kaanza kutukanwa na kusemwa vibaya siku nyingi sana, lakini siku zote hizo anakaa kimya hajibu chochote. Kama Binadamu lazima tukubali kwamba kuna wakati uvumilivu unafika kikomo. Mwacheni Diamond naye ajibu. Halafu tukumbuke kwamba hadi sasa Diamond bado hajaweka wazi chazo cha ugomvi. Siku atakapojibu ndio tutajua nani mbaya.
Kwahyo ss hv ndo uvumilivu wake umeshafika kikomo..?? Au na ww hujui ila unahisi?? Ni bora na yeye akaweka wazi ili kuondoa hii sintofahamu kuliko akikaa kimya. Kukaa kwake kimya kunafanya watu waamini kwmb yaliyosemwa ni ukweli. Ni bora akaelezea kuliko kutukana mtandaoni mpk kudhani Mungu kakosea mahesabu.
 
Nani kamdanganganya Diamond kuwa mafanikio ndiyo kipimo cha uzuri wa roho ya mtu??

Huyu mtu amepanic jamani msaidieni asijekufanya vitu vya aibu zaidi.
Domo hajaenda shule but kapata bahat nzur ya kutembea nchi mbali mbali duniani, nashangaa sijui ni vitu gan anajifunza kama bado hana ustaarabu na hekima watu wengine bure kabisa
 
Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.

Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss

cc Chinga One chige The bold
Kwa mahojiano aliyofanya Ommy amesababisha team ndomo kwenda chooni kulia na kumkana mond mara 3 kama Petro.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii
Vipi ile pension imeisha?Maana naona umerudi JF kwa fujo wakati sio kawaida yako.
Hao akina Lulu, tunda, wema, wolper wanaendesha magar kwa kutegemra wanaume na ushirikina, huwezi kusema ungu kawabariki, tamaa ndo zimewafilisha pale
 
Akinya kuku shangwe, Bata akiyahara Basi kachafua. Siku zote hata wewe unayesoma comment hii ukifanikiwa lazima uchukiwe hata uwe mzuri vipi. Maskini wengi huteteana; Diamond Hajidai wala nini ni hofu yenu Tu, pia hata kama unamponda mwenzio wakati anapasua maanga na mavisa we unarudi kwako kula Sombe/Kisamvu huoni unapoteza muda?
Hahahahahaha...!! Unajuaje kma hajidai?? Wewe ni mtu wke wa karibu au ni shabiki wake tu mtandaoni?? Watu bana, yawezekana hata hamfahamiani ila unaweza kumuelezea kma mtoto wko vile. Tupunguze mahaba jamani.
 
Wewe usionge hvyo Mali kitu gani kikubwa heshima unaweza kuwa na Mali kama una heshima utaonekana mshamba tu Kwa wtu ambao wanajielewa kama mimi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Heshima pesa mkuu...kama hauna pesa hata hiyo busara yako itaonekana sifuri.
 
Kwahyo ss hv ndo uvumilivu wake umeshafika kikomo..?? Au na ww hujui ila unahisi?? Ni bora na yeye akaweka wazi ili kuondoa hii sintofahamu kuliko akikaa kimya. Kukaa kwake kimya kunafanya watu waamini kwmb yaliyosemwa ni ukweli. Ni bora akaelezea kuliko kutukana mtandaoni mpk kudhani Mungu kakosea mahesabu.
Subirini muda utafika na mtaambiwa ukweli. Kuconclude mambo wakati story ipo one sided hilo nalo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG]
 
Kilichokuwepo sasa ni tuhuma za Diamond kulala na mama yake (sipendi kabisa kuliongelea hili japo nalijua tokea kitambo)

Wewe hili la Ommy na mama Chibu umelipatia wapi?
Mh!.....hadi mtu alale na mama yake Mara nyingi inakua ni mashart ya mganga. Ila siamini kama Diamond alifanya hivyo coz sikuwashikia miguu mie.
 
Back
Top Bottom