Usishangae kumuona Le Mutuz akichukua nafasi ya mtoto mmojaNimeiona instagram, Diamond ametoa offer ya watoto 10 wakiambatana na wazazi wao kwenda kujumuika na Latifa katika sherehe yake ya kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa.
Ninahisi mmoja wa watoto atakuwa Taraji akiambatana na wazazi wake Petit man Wakuache pamoja na Esma Platnums.
Roho ya kimaskini hiyo na ushamba juuKAFARA HUI SIO BURE
Umefikiria kwa kina sana mkuuWasiwabebeshe yale madude yao tu
pesa yake huwezi kumpangia matumizi, ulimsaidia kutafuta!Ujinga tu iyo pesa si apeleke vitu vya watoto yatima
Shetan bana, yupo radhi mnunulie pombe lkn asikununulie hata kibaba cha unga
Ujinga tu iyo pesa si apeleke vitu vya watoto yatima
Shetan bana, yupo radhi mnunulie pombe lkn asikununulie hata kibaba cha unga