Ujinga tu iyo pesa si apeleke vitu vya watoto yatima
Shetan bana, yupo radhi mnunulie pombe lkn asikununulie hata kibaba cha unga
Katafute ya kwako ndio upeleke huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga tu iyo pesa si apeleke vitu vya watoto yatima
Shetan bana, yupo radhi mnunulie pombe lkn asikununulie hata kibaba cha unga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usishangae kumuona Le Mutuz akichukua nafasi ya mtoto mmoja
HahahahaUsishangae kumuona Le Mutuz akichukua nafasi ya mtoto mmoja
Kick[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani ukiwa na akili za kitoto unapoteza sifa ya kuwa mtoto? Nadhani anastahili.Usishangae kumuona Le Mutuz akichukua nafasi ya mtoto mmoja
Wewe nsni wa kumpangia mtu matumizi ya pesa zake? Jinga kabisa.Ujinga tu iyo pesa si apeleke vitu vya watoto yatima
Shetan bana, yupo radhi mnunulie pombe lkn asikununulie hata kibaba cha unga
Jinga niweee boyWewe nsni wa kumpangia mtu matumizi ya pesa zake? Jinga kabisa.
Hebu fanya na wewe kama una huo ubavu upate Kick.Kick[emoji2][emoji2][emoji2]
Msengerema tu wewe, pambana na hali yako.Jinga niweee boy
Unaogopa hata kuongea... Wee ndio Mseenge punguani , mzee tola alokula konono gizani.Msengerema tu wewe, pambana na hali yako.
Umaskini wako usisababishe kupangia watu do n dots, Manji na Mo dewji pesa zao wanazimwaga kwenye mpira kwa nini msiwashauri hao? Kenge nyinyi.Hizo pesa bora anesaidia wasiojiweza ,a birthday kwa mtoto haina maana zaidi ya keki na juice na vizawadi vidogovidogo.
Ahsante MkuuUmaskini wako usisababishe kupangia watu do n dots, Manji na Mo dewji pesa zao wanazimwaga kwenye mpira kwa nini msiwashauri hao? Kenge nyinyi.
Good boy.Ahsante Mkuu
Watch outGood boy.
Naweka msisitizo piaWasiwabebeshe yale madude yao tu
Dalili za ufukara hizo.. Mtu ameoambana miaka yote. Kahustle leo kafanikiwa mnamwita freemason.. Ujinga huoKAFARA HII SIO BURE
[emoji3]Katafute ya kwako ndio upeleke huko