Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa

Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa

Usishangae kumuona Le Mutuz akichukua nafasi ya mtoto mmoja
Kwani ukiwa na akili za kitoto unapoteza sifa ya kuwa mtoto? Nadhani anastahili.

Huyu mpaka apate tezi dume ndio atautambuwa umri wake, tezi dume uwapata wanaume wenye umri kuanzia miaka 50. Ni hiki tu ndio itakuwa wake up call kwa Le nyenyenye.
 
Ujinga tu iyo pesa si apeleke vitu vya watoto yatima


Shetan bana, yupo radhi mnunulie pombe lkn asikununulie hata kibaba cha unga
Wewe nsni wa kumpangia mtu matumizi ya pesa zake? Jinga kabisa.
 
Sifa za maskini....
IMG-20180716-WA0028.jpg
 
Back
Top Bottom