Diamond: Nafkiri ili kuwatendea haki Watoto, ni vyema pia Kuongeza Tickets zingine 10 Maalum kwajili ya Watoto tu, wakiambatana na wazazi wao...nao Kwenda South Africa kufurahia Miaka mi 3 ya uzaliwa wa Rafiki yao Mpendwa
@princess_tiffah ... Hivi Unafikiri ni Benki gani haswa ni Sawia Yenye Akaunti ya Watoto na ina Upendo wa Dhati kwa watoto..ili kupitia
@gsmtravelandtourstuwape dhamana hii ya wao Kushughurikia kusafiri kwa watoto hao na Ukaaji wao wote kwa weekend nzima ya Birthday ya
@princess_tiffah South Africa , Ambayo pia itakuwa inaruka live pitia
@wasafitv ....lakini pia kabla ya watoto hao Kusafiri Ntawafungulia akaunti kwenye Benki hio na Kuwaekea shilingi laki Mbili (2) pamoja na Bima ya Afya kwa kila mmoja.......
najua unajiuliza Wewe au Mwanao anawezaje kuwa miongoni mwao Usijali ntakujuza, kwanza niambie BENKI Gani?..
[HASHTAG]#TiffahDangote[/HASHTAG] [HASHTAG]#TiffahsBirthday[/HASHTAG][HASHTAG]#TeePlatnumz[/HASHTAG] @gsmtravelandtours@danubehome