Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa

Hizo pesa bora anesaidia wasiojiweza ,a birthday kwa mtoto haina maana zaidi ya keki na juice na vizawadi vidogovidogo.
Kwan anasaidia mara ngapi.. Ata hao watoto wanaoenda uko SA wanafunguliwa Bima pia wanapewa mtonyo..
 
Diamond: Nafkiri ili kuwatendea haki Watoto, ni vyema pia Kuongeza Tickets zingine 10 Maalum kwajili ya Watoto tu, wakiambatana na wazazi wao...nao Kwenda South Africa kufurahia Miaka mi 3 ya uzaliwa wa Rafiki yao Mpendwa @princess_tiffah ... Hivi Unafikiri ni Benki gani haswa ni Sawia Yenye Akaunti ya Watoto na ina Upendo wa Dhati kwa watoto..ili kupitia @gsmtravelandtourstuwape dhamana hii ya wao Kushughurikia kusafiri kwa watoto hao na Ukaaji wao wote kwa weekend nzima ya Birthday ya @princess_tiffah South Africa , Ambayo pia itakuwa inaruka live pitia @wasafitv ....lakini pia kabla ya watoto hao Kusafiri Ntawafungulia akaunti kwenye Benki hio na Kuwaekea shilingi laki Mbili (2) pamoja na Bima ya Afya kwa kila mmoja.......
najua unajiuliza Wewe au Mwanao anawezaje kuwa miongoni mwao Usijali ntakujuza, kwanza niambie BENKI Gani?..
[HASHTAG]#TiffahDangote[/HASHTAG] [HASHTAG]#TiffahsBirthday[/HASHTAG][HASHTAG]#TeePlatnumz[/HASHTAG] @gsmtravelandtours@danubehome
 
Huyu Jamaa Anaakili Sana Sema Maujinga Yake ya Kwenye Mitandao Ndio Yanamuharibiaga Yani
 
haya watoto changamkieni... ila sasa ni watoto wa umri gani??? au ndio atatujuza baadae...
 
hahahaha Diamond ni kama maji kuyanywa ni lazima
 
Kwani ukiwa na akili za kitoto unapoteza sifa ya kuwa mtoto? Nadhani anastahili.

Huyu mpaka apate tezi dume ndio atautambuwa umri wake, tezi dume uwapata wanaume wenye umri kuanzia miaka 50. Ni hiki tu ndio itakuwa wake up call kwa Le nyenyenye.
😀😀😀😀😀
 
Nimeiona instagram, Diamond ametoa offer ya watoto 10 wakiambatana na wazazi wao kwenda kujumuika na Latifa katika sherehe yake ya kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa.

Ninahisi mmoja wa watoto atakuwa Taraji akiambatana na wazazi wake Petit man Wakuache pamoja na Esma Platnums.
Angewalipia ada ingependeza zaidi.
 
asije akaenda kuwatoa kafara watoto wa watu huko SA tukaja kupewa sababu mbalimbali ili ionekane ni mpango wa mungu.

watu maarufu na wenye mafanikio wa level kama ya diamond wana mambo mengi ya siri nyuma ya pazia juu ya kufanikiwa kwao.
yangu ni hayo.
 
Back
Top Bottom