Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes

Kama ndo mnavyoishi hivyo na kwenye jamii zenu basi hongereni.

Btw; unafikiri ni kwanini Diamond ameamua kujielezea? Hivi kweli kulikuwa na ulazima wowote wa kujitolea sababu?
Kama ndivyo tunavyoishi kivipi Avemaria? Issue ni kwamba, mtu huwezi kuwa na control over someone else's maamuzi! Inawezekana unaishi na watu vizuri kabisa, wakipata matatizo au sherehe unahudhuria! Lakini bado haimaanishi kwamba na wewe ukipata matatizo wale ambao ulikuwa unaenda kuwa-support nao lazima watakuja kuku-support! Sasa hoja hapa ni kwamba, kama wewe ulikuwa unawa-support lakini wao hawajaja kuku-support, piga kimya mshukuru Mungu na sio kulalamika lakini tayari utakuwa umefahamu ni nani rafiki wa kwenye shida na raha na nani ni wa kwenye raha tu!! Hawa watu Avemaria, am certain hata huko kwenu wapo... kila mahali wapo! Wanapokuwa na shida unawa-support lakini ukipata wewe huwaoni... kwahiyo wala haina haja kusema "fulani nimepata tatizo wala sikumuona" ya nini... mwache tu!!

Kwamba Diamond alikuwa na sababu ya kutolea ufafanuzi, kwa mtazamo wangu mimi wala hakuwa na sababu ingawaje nadhani kinachomsumbua ni ile kuona yeye ni public figure halafu watu wanaona hahudhurii matatizo ya wenzake! Ilitosha kabisa kutoa ufafanuzi wake kwa Dully, PERIOD! Lakini kubwa kuliko yote, si Diamond wala yeyote yule alikuwa analazimika kuwepo kwenye msiba huo... hapo ndipo nilipomshangaa Dully as if wasanii walikuwa wanalazimika kuwepo kwenye msiba wa baba ake! Yeye alitakuwa tu kuwashukuru wale waliohudhuria basi!
 
chige thanx tumeelewana kiswazi unakuta mtu kafiwa lakini anafanya SENSA
Ya waliokula au waliokuja. Pole mkuu past it touches
hahahahaaa! Analia huku amefunika uso kwa viganja vya mkono lakini vidole kwa mbaaaaaali, amevichanua ili aone wanaokuja! Tena issue sio tu kufika msibani, anakudekshia kwa mbaaaali kama uso wako una uzuni kama yeye... akiona uso wako hauna uzuni badala yake unapiga tu stori, bwana eh! Anyway, ahsante kwa pole yako!
 
Kichuguu, huyo Meneja wa Diamond anayejua kujibu ni yupi? Babu Tale, au? Kama ni Babu Tale, si ndo huyo huyo Babu Tale ile siku Diamond anapata kasheshe za mashabiki Ujerumani, Babu Tale anaohojiwa bila aibu anasema hiyo kitu kwa upande mwingine ni mzuri kv ingemuongezea Diamond publicity bila kufahamu kwamba hata kama Tale aliamini ingemwongezea Diamond publicity basi ilipaswa kuwa siri yao ya ndani!!!

That's one, but second, kuna kitu kina-luck kwenye management zetu!! Wenzetu huwa wanaamua kabisa in advance kwamba for any question from medias basi maswali hayo yawe routed kwa responsible person na sio kwa msanii mwenyewe! Hata msanii anapofanya mahojiano, anakuwa tayari amesharuhusiwa na meneja na wakati mwingine meneja anakuwapo hapo hapo na yeye ana wajibu wa kusema hilo jibu na hilo usijibu! Sasa hapa kwetu hakuna hii response channel... unamtwangia tu simu Diamond na yeye kama anakufahamu, anakupa madini! But all in all, iwe anajibu Diamond mwenyewe au meneja wake, hususani kama mameneja wenyewe ndio hawa waliopo, don' expect watakuja kutoa majibu ya maana!
 
Tatizo la Dully misifa mingi! Unakuta watu wanapompa heshima ya kaka ndo basi tena anadhani heshima zooooote za kama kaka anastahili kuwa nazo kumbe wenzake wanamuita kaka just for respect! Kwanza huyo Diamond kuna wasanii kibao anawaita brother!

Kuna siku Dully nilikuwa namsikia akihojiwa na Clouds kwenye kutimiza miaka 15... the way alivyokuwa anaongea alikuwa anaonesha ni kana kwamba Bongo Flavor imefika hapa ilipo kwa ajili yake na kutokana na hilo ndio maana anahisi wasanii wote lazima wa-pay respect kwake kwa kile anachoamini kwamba ni yeye ndie kaifikisha bongo flavor hapa ilipo!!!!
 
Tena sio wamshauri maswali ya kujibu bali ikiwezekana awe na PR kabisa coz' ktk hili kuna weakness kubwa sana kwenye the whole team! Hii nchi kuna watu kibao hawana kazi na shule wanayo... wapo ambao wangekuwa tayari kabisa kupiga tu route na Diamond huku akiwezeshwa kwa hili na lile na wakati huo huo aki-work as a PR! Media issues ziwe directly routed kwa PR na sio Diamond mwenyewe na kama ni lazima Diamond mwenyewe ndie awe anaongea basi with PR's guidance! Wasanii wengi, sio Chibu tu, hata wale wa mbele, wengi wao ni nonsense kwahiyo lazima wawepo wa kuwa-guide and this's even more important kwa mtu kama Diamond ambae kila siku Watanzania wenzake wanakesha wakiomba waone anavyoporomoka na ndio maana mambo ya kipumbavu kama haya yanajadiliwa siku mzima as if ni Diamond peke yake ndie hajaenda!!!
 

Na angemuachia manager ajibu ndio kabisaaa wangesema anadharau! Sisi waswahili tuna tabu kuturidhisha sio kazi ndogo
 
Misiba ni muhimu kuhudhuria kwa tamaduni zetu waswahili, asiyehudhuria misibani ufikia mpaka kuhisiwa mchawi...Ishu ni kwa nini haonekane Diamond tu.

Kuna wasanii kibao wadogo zake Dully na washikaji zake hawakuhudhuria na sio kwamba walikuwa bize au walikuwa mbali wengine walikuwa wanaonekana mitaani tu wametulia.

Alafu wengine pengine mmesahau, dingi yake Dully alikuwa anashinda na baadhi ya wasanii na kufanya nao kazi kiasi kwamba mapenzi yake yalikuwa kwa vijana zaidi,ata msiba wa marehemu Albert nilimuona moro na alikuwa analia sana....vijana walikuwa ndio maswaiba zake lakini cha ajabu walomzika ni wazee wenzie vijana waliishia kupost insta kule kwenye likes. wachache legends ndio walifika.

Lazima Dully aumie nyie mnaongea tu. Mabongofleva kwa hili mmemchoresha babake na dully mwenyewe.
 
Na angemuachia manager ajibu ndio kabisaaa wangesema anadharau! Sisi waswahili tuna tabu kuturidhisha sio kazi ndogo

Hii nchi ngumu sana...hakika bora amejibu yeye maana angejibu mwingine ndio ingekuwa issue nyingine.
 

Hakika Diamond ana hitaji msemaji...
 
Alafu dully ajamtaja dai ila watu wanalazimisha

Aliisa hiyo ila siiandiki kaneno yake ni kuwa ameshangaa sana kuwa anayemwitaga kaka hakutokea msibani..... Halafu eti alikuwa hategemei pesa zao as alishapata za watu wengine.......
 

basi asimame barabarani asaidie wasanii wenye matatizo wamfate kama vile ndio wao wamempa baraka za kuwa alipo. Yaani unaongelea ka vile kazaliwa nao ndio wamseme kumlalamikia kila kitu. Wasepe huko wampigie simu kumuomba pesa/kulalamika sio kusema kwa media.
 
Last edited by a moderator:

Alifanya nao kazi, inamaanisha walikuwa wanamlipa mzee au anawalipa wao?

Nauliza maana wengine duniani uweka kazi na urafiki kando kando kabisa.
 
Aliisa hiyo ila siiandiki kaneno yake ni kuwa ameshangaa sana kuwa anayemwitaga kaka hakutokea msibani..... Halafu eti alikuwa hategemei pesa zao as alishapata za watu wengine.......

Sasa kama upuuzi huu ana uongea mtu anayejifanya anampenda Diamond kweli? Huu ni unafiki kabisa ...Dully ni mjinga nani amemwambia kuwa Diamond hakuja kwasababu aliogopa kutoa hela? ina maana wote ambao hawakuja walihofia kuombwa hela na Dully! Dully amechanganyikiwa.
 

Kwa kweli ile na aliyoongea kwa TV makaburini/msibani kulalamika ni duh. Na Diamond nimemsoma alimpigia simu.

Kweli unavyosema ana yake zaidi...moja lazima kumchafua kasubiri chance ije kamwaga aliyotaka kumwaga tangu apange kumchafua achukiwe ashuke ....
 

unatakiwa ufaham huyu ni celebrity na pia ni rafiki wa mfiwa na msiba wenyewe ni baba, kitendo cha kua celebrity kunaendana na social responsibility ndio ma celebrity wa kibongo hawajui ilo, usiulize yy kama ameenda tunazungumzia celebrity diamond platinumz sio pangu pakavu kupata kuna mungu kama wewe!!!
 
Ujinga mwingine shida sana, so msiba bila Diamond hauwi msiba. Haya mama yake Diamond anaumwa kwa kipindi kirefu sana, hivi kuna msanii yeyote aliyediriki kwenda kumjulia hali huyu mama? Au kwa sababu Diamond si mtu wa kulalamika basi ndio wanaona wao wana haki ya kutembelewa kwenye matatizo yao? Au kushiriki shughuli za kijamii ni misiba tu, ila kumjulia hali mgonjwa si shughuli ya kijamii? Diamond, muuguze mama yako achana na hawa wapuuzi wanaopenda kulalamika lalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…