Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes


Hii social responsibility ni kwa Diamond tu kwenda kwenye misiba, ila kwenda kumjulia hali mama wa Diamond siyo social responsibility?
 

Mtu ameshakufa, hakuna namna ya kwamba atafufuka. Kwa nini yeye Dully asionyeshe uungwana kumchangia Diamond matibabu ya mama yake?
 
Hii social responsibility ni kwa Diamond tu kwenda kwenye misiba, ila kwenda kumjulia hali mama wa Diamond siyo social responsibility?

wanasubiri afe mkuu ndo waende
 

huyu dully anaonekana mwanga! Maneno yoote hayo angetungia taarab
 
hata huyu dully anahitaji msemaji ili kuzuia kuropoka ropoka maneno ya kichawi muda wote😡

Dully wala haihitaji msemaji maana kwangu mimi si msanii bali ni mla unga na aliye changanyikiwa yani unaweza ukafikiri alikuwa ana mvizia Diamond!
 
Diamond kila kitu ni habari! Yani jamaa kisa king hajatia nanga ndo kamaindi! Dah kweli umaarufu gunia la misumari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…