Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Tatizo wanaume wa mikoani wanatamani sana kuja Dar sema hawana uwezo, dar wanaiona kama los Angeles, hapana chezeya jiji la kina warumi, na bado watoto wa dar tutaendelea kuwapa homa watoto wa sitimbi
Ha ha h tutake radhi sisi wakulima
 
Yule bint ni mrembo mno namjua sijui hata nimfananishe na nani urembo wake na naijua familia yake . Walipinga sana kuolewa na sheta bint wawatu akaacha chuo ifm mapenzi yalimkolea akaaribu career yake.
Acha uongo yule alikuwa ni mwanafunzi wa cbe kumbe hata humjui unatupiga chai tu
 
Pale unapopata mnyonge wako , unamyonga tu, Chibu thats not fair kk, f tc true
 
kumbe msanii shetta ni wa kiume!?nilijua ni kama shilole
Lord av mercy on you!! Kauli ako inatia shaka pia kwa jinsi yako coz inaonekana huwez kutofautisha kati ya male and female, sidhan km na ww unajijua upo kwny kund lip jichek!! Note::unapozungumzia biological differences"sex" tunasema "jinsi"na sio jinsia
 
Kwa hiyo diamond na sheta itakua kama OMMY dimpoz na diamond tena sasa na yeye sheta kwani hana kwake mpaka awe anaenda kushinda na mkewe kwa diamond wakati MKE wake amejazia kuliko zari
 
Wanaume wa Dar.

Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.

Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka kufuta picha zote alizoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram lakini akajistukia watu watauliza kulikoni. Alichofanya ni kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram na kuanza upya kupost.

Kwa wale wambea na wanaume wa Dar unaweza kucheki kwenye akaunti ya Shetta na kushuhudia video moja ya Shetta. Pia mama Qayllah kwenye profile ameweka picha ya Diamond na Qayllah.

Hayo ndio yaliyojiri kwenye ''You Heard''
Mkuu asante sana kwa kunichekesha.....
 
dah ni muda mrefu tangu wakwazane na mpenzi wake, sidhani kama kuna chance ya wao kurudiana.
 
sorry tatizo niliquote jana usiku nikiwa nmelewa kinoma
fc02a51e9736334d3df4d8354f5a2ee5.jpg
 
Mama qylaah ni mzuri sema yule binti ni malaya sana jamani, amegongwa na wanaume wengi sana,pale sheta kachemsha kwa kweli
Shikamoo Warumi...Kipindi hicho niliwahi kupita naye one night stand.Tukapotezana.Nimekuja jua mke wa shetta kwenye huu uzi.Uko vizuri mzee.Yule ilikuwa pesa yako tu.Anway atakuwa katulia
 
lazma huyu kaibiwa diamond mbayaaaaaa kwa saut ya joti
 
Back
Top Bottom