Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Yule bint ni mrembo mno namjua sijui hata nimfananishe na nani urembo wake na naijua familia yake . Walipinga sana kuolewa na sheta bint wawatu akaacha chuo ifm mapenzi yalimkolea akaaribu career yake.
Mama qylaah ni mzuri sema yule binti ni malaya sana jamani, amegongwa na wanaume wengi sana,pale sheta kachemsha kwa kweli
 
Haaaa binamu atakua anakula chips zege akirudi atakua na uvuyu wote......
Binamu huyo domo alikua anakula leila kitambo tu, alikua anamgongea mburahat kwa shoga yake leila, tena kipindi hiko alikua ana mimba ya qylah, na inasemekana huyo mtoto sheta sio wake binamu, yule mwanamke ni malaya then anapenda sana kuomba pesa
 
Hivi wanaume wa Dar wana nini shemeji? Mbona wanasemwa sana siku hizi??
Tatizo wanaume wa mikoani wanatamani sana kuja Dar sema hawana uwezo, dar wanaiona kama los Angeles, hapana chezeya jiji la kina warumi, na bado watoto wa dar tutaendelea kuwapa homa watoto wa sitimbi
 
Umbea sasa imekua kazi.

#Wanaume_wa_Dar_mbadilike
ahahah, naona mnawataman sana wanaume wa dar eeh? tunawapa homa, sasa mnatufuatlia nn wanaume wa dar? fuatilieni mambo yenu ya kijijini, ya dar hamuyawezi nyie
 
Binamu siku ukifa nitajua tu bila kuambiwa, maana vijiwe hivi Ndio Kwako na mdogo wangu Nifah
ahahah binamu watu wanatamani kuja dar sema nauli hawana basi mapovu yanawatoka mpaka, humu ndo kijiwe changu binamu ukiona kimya ujue nimetangulia mbele za haki
 
Wanaume wa Dar.

Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.

Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka kufuta picha zote alizoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram lakini akajistukia watu watauliza kulikoni. Alichofanya ni kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram na kuanza upya kupost.

Kwa wale wambea na wanaume wa Dar unaweza kucheki kwenye akaunti ya Shetta na kushuhudia video moja ya Shetta. Pia mama Qayllah kwenye profile ameweka picha ya Diamond na Qayllah.

Hayo ndio yaliyojiri kwenye ''You Heard''
Wanaume wa darisalaama kazi kupaka poda
 
Mke wa Shetta kapost hii kitu leo
04a3964282fbc59028c994839a34f524.jpg
Aiseee!
 
According to wazee wao "Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani"
 
Back
Top Bottom