Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Acha uongo yule alikuwa ni mwanafunzi wa cbe kumbe hata humjui unatupiga chai tu

Mama Qayla alikuwa akifanyakazi kwenye duka la nguo la Diamond, na ndiko Shetta alikompatia. Tena aliunganishiwa nafasi hiyo na Queen Darlin kwa sababu alikuwa ni rafiki yake mkubwa.
Kihistoria Mama Qayla aliwahi kutimuliwa nyumbani kwao kutokana na umalaya, alishawahi kuonekana kwenye video ya wimbo wa Diamond ambayo pia Wema alionekana.
Huyu Mama Qayla nasikia ana kibwana chake kinaishi maeneo ya Mburahati, anamgonga hadi leo, ni dogo flani wa kishua. Hata Shetta anajua kama jamaa anamgongea, ila akiwa safarini ndio anapigiwa.

Ova
 
Back
Top Bottom