Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ha ha h tutake radhi sisi wakulimaTatizo wanaume wa mikoani wanatamani sana kuja Dar sema hawana uwezo, dar wanaiona kama los Angeles, hapana chezeya jiji la kina warumi, na bado watoto wa dar tutaendelea kuwapa homa watoto wa sitimbi
Acha uongo yule alikuwa ni mwanafunzi wa cbe kumbe hata humjui unatupiga chai tuYule bint ni mrembo mno namjua sijui hata nimfananishe na nani urembo wake na naijua familia yake . Walipinga sana kuolewa na sheta bint wawatu akaacha chuo ifm mapenzi yalimkolea akaaribu career yake.
Lord av mercy on you!! Kauli ako inatia shaka pia kwa jinsi yako coz inaonekana huwez kutofautisha kati ya male and female, sidhan km na ww unajijua upo kwny kund lip jichek!! Note::unapozungumzia biological differences"sex" tunasema "jinsi"na sio jinsiakumbe msanii shetta ni wa kiume!?nilijua ni kama shilole
Mkuu asante sana kwa kunichekesha.....Wanaume wa Dar.
Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.
Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka kufuta picha zote alizoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram lakini akajistukia watu watauliza kulikoni. Alichofanya ni kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram na kuanza upya kupost.
Kwa wale wambea na wanaume wa Dar unaweza kucheki kwenye akaunti ya Shetta na kushuhudia video moja ya Shetta. Pia mama Qayllah kwenye profile ameweka picha ya Diamond na Qayllah.
Hayo ndio yaliyojiri kwenye ''You Heard''
alikua anasoma IFM diploma, akaachia kati katAcha uongo yule alikuwa ni mwanafunzi wa cbe kumbe hata humjui unatupiga chai tu
Bora umemjibu mimi niliamua kumpotezeaalikua anasoma IFM diploma, akaachia kati kat
anajifanya mjuaji wakat hajui, anataka kushindana na cha umbea warumiBora umemjibu mimi niliamua kumpotezea
I [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] mensC' mon mens????
Dude, seriously?!!!!!!
Kaaaaz kweli kweliMens of Dar? Kingereza hiki tabu tupu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] jf rahaaaUsikute hujaoa
Dai ha yupo sawa hapaPicha huwa zinaongea mengi![/FONT]
sorry tatizo niliquote jana usiku nikiwa nmelewa kinoma
Shikamoo Warumi...Kipindi hicho niliwahi kupita naye one night stand.Tukapotezana.Nimekuja jua mke wa shetta kwenye huu uzi.Uko vizuri mzee.Yule ilikuwa pesa yako tu.Anway atakuwa katuliaMama qylaah ni mzuri sema yule binti ni malaya sana jamani, amegongwa na wanaume wengi sana,pale sheta kachemsha kwa kweli