The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
hii habari sudi brown kasema leo kwenye XXL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ile picha ya Shetta na Afande KovaHii habari ingekuwa Na Picha ingependeza sana, hata sie ambao sio wa Dar tuone....!
Watu wengine sijui mnavutaga bangi ya wapi[emoji2] [emoji2] [emoji2]Maria roza
Haaa,makubwami mke wangu nikimfumania atakuwa kanisaidia jinsi nilivyomchoka
Nipatie namba zake kisirisirimi mke wangu nikimfumania atakuwa kanisaidia jinsi nilivyomchoka
[emoji15] mens of Dar again...!!!
Yahp, tunasubiria mida yetu ya kwenda kula chips yai na kuku wa kizungu.
BORA SHULE ZIFUNGULIWE MKAANDIKE NOTSI.Wanaume wa Dar.
Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.
Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka kufuta picha zote alizoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram lakini akajistukia watu watauliza kulikoni. Alichofanya ni kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram na kuanza upya kupost.
Kwa wale wambea na wanaume wa Dar unaweza kucheki kwenye akaunti ya Shetta na kushuhudia video moja ya Shetta. Pia mama Qayllah kwenye profile ameweka picha ya Diamond na Qayllah.
Hayo ndio yaliyojiri kwenye ''You Heard''
Kiingereza kigumu...basi sawa[emoji15] mens of Dar again...!!!
Rasi simba hajafika mikoaniMens of Dar? Kingereza hiki tabu tupu.
Mashavu kama sufilia la MagerezaaWa kawaidaaa, watu wanajua kupambia bwana, mi nilijua bonge la dude, nashukuru Ndugu Kwa picha
Nipe mimi nikusaidiemi mke wangu nikimfumania atakuwa kanisaidia jinsi nilivyomchoka
Hivi wanaume wa Dar wana nini shemeji? Mbona wanasemwa sana siku hizi??Haaaaaa wanaume wa Dar katika ubora wao lols.....
Ulimaanisha nn hapo mkuu?[emoji15] mens of Dar again...!!!